Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Je hio mionzi ya nishati Kati ya jini na mwanadamu humuathiri zaidi yupiKilichotumika ni kitu kinaitwa tel Al ard au ardhini ( kukunja ardhi kupunguza umbali ) ni sawa sawa na kuvusha mguu kutoka kizingiti cha mlango kwenda nje ni muda mfupi sana upo Tanga na muda mfupi sana upo Iran.
Na hii ni sehemu ya ilmu katika kusafiri hakuna kipando unapanda ila ni kukunja ardhi na kupunguza umbali kufumba na kufumbua upo Iran.
Sababu ya wao kujitenga ni energy difference baina ya majini na binaadamu.
Nishati ya majini na binaadamu ni tofauti hivyo kuna mmoja humuathiri mwenzie kwa miale au mionzi ya nishati ya mwili
Tunaipenda tunaoielewa. Na ndio elimu Bora zaidi.Hii ni elimu ya giza
Haitakusaidia zaidi ya kukuweka mbali na NuruTunaipenda tunaoielewa. Na ndio elimu Bora zaidi.
Si katika kitu wanachotumia na usijefanya ukorofi kwa kusema upo na mfupa wa kitimoto hawatakuzonga wapo ambao wao kitimoto hawana mpango nae ila wanaweza kukufikia vizuri kabisaKwa nn majini yanaogopa kitimoto?
KAZI ni kipimo cha utu
Endeleza ,inavutiaMUENDELEZO WA SEHEMU YA NNE:
Basi nitarudi pale sebleni alipokuwa baba , na haikuchukua muda mlango wetu uligongwa.
Baba akanambia kuna mgeni huko , mimi nilishajua mgeni yule ni nani lakini nilinyamaza kimya kama sijui kitu chochote.
Baba alinyanyuka yeye mwenyewe kwenda kufungua mlango , baada ya salamu alimkaribisha ndani . Mzee Ruhaby na mimi tulitazamana macho kwa macho na haikuchukua muda mrefu akaanza mazungumzo yake na baba .
" Nilikuwa napita naenda pangani stahabu lakini nimevutiwa na ukimya wa hapa , ufanyaji wa ibada wa wakazi wa hapa lakini nilipata kusikia kuna mtoto mmoja hapa alipata kutumbukia kisimani sasa nimeona niingie hapa kuwajulia hali wakazi wa nyumba hii .." mzee Ruhaby alisema.
Lakini muda wote huu tangu aingie pale ndani kulikuwa na utulivu mkubwa sana kuliko kawaida na harufu ya manukato mazuri iliongezeka mbali na ubani ambao huwa tunafusha mara kwa mara harufu ya manukato iliongezeka.
Baba yangu yeye ni mkarimu sana na anapenda sana wageni na ilikuwa ni desturi ya pale nyumbani kuja wageni mbalimbali haswa waliokuwa wanakuja masjid kwaajili ya darsa mbalimbali, nafikiri yeye baba alijua mzee yule alitokea kule masjid na alipewa habari na sheikh Yusuf kumbe haikuwa hivyo.
Baba alivunja ukimya na yeye akasema nikweli mtoto mwenyewe ni huyu hapa ( nakumbuka alinishika kichwa hivi ) , akasema huyu bwana alitoka na wenzie zikaja habari kuwa amezama kisimani na mara akatoka.
" Lakini mambo ya watoto bwana sijui ametoka vipi ila huyu mtoto ana mambo ya ajabu ajabu leo yeye na dada yake wamenishangaza...." Baba alisema.
Mzee Ruhaby muda wote huu yeye hakujitambulisha hata kidogo lakini nilishangaa namna ambavyo baba yangu alimuamini ghafla sana na hata kuongea mambo mengi.
Lakini mada ikabadilka baada ya mzee Ruhaby kutoa kitabu kidogo na kumpa baba , kilikuwa kidogo dogo tuu na jalada lake ni kama ngozi hivii.
" Haya hii ni zawadi yangu kwako bwana utasomasoma ni kitabu changu hiki ila nakupa . Baba akavaa miwani yake na kusoma maandishi ya nje ya kitabu kisha akakiweka kando.
Baba ni kama alikuwa akiendeshwa fikra zake bila kujijua akawa anaongelea mada za majini tuu tena ghafla sana.
Saa saba kasoro kama dakika 23 hivi mzee Ruhaby akamwambia baba sasa mimi niruhusu nitoke niendelee na safari baada ya swala ya adhuhur nitafika pangani kule stahabu lakini huyu mtoto wako nimempenda sana ni mpole na mkimya muda wote huu hajasumbua hata kusema lolote msiwe mnamsema kwa hasira.
" Haya Ruhaby nilikuwepo sasa natoka" alisema.
Baba baada ya kusikia hili jina ni kama alishtuka hivi lakini alificha na badala yake alitoka nae nje na kumsindikiza.
Alirudi ndani na kunambia tujiandae twende zetu masjid lakini tulivyofika masjid mzee Ruhaby hakuwepo na baba ni kama alikuwa akiangalia huku na kule kama labda atamuona lakini hakumuona sababu hakuwepo.
Tuliswali na kumaliza na baada ya swalat adhuhur alimuita rafiki yake sheikh Yusuf na kumuuliza iwapo kuna ugeni wowote aliupokea pale masjid na kuwaelekeza nyumbani.
Lakini sheikh Yusuf alisema yeye hakupokea ugeni wowote, baba alishtuka tena kidogo ni kama machale yalianza kumcheza hivi sababu hakuwa mgeni sana na habari za ulimwengu wa majini .
" Sasa Yusuf swahiba wangu hivi Ruhaby ina maana gani? maana alikuja mzee pale nyumbani nikamkaribisha lakini sikupata kumuuliza jina maana sio vyema sana ila mwisho kabisa aliniaga na kusema kuwa yeye ni Ruhaby sasa alisema atapitia hapa masjid kisha anaenda stahabu pangani lakini sikumuona hapa " baba alisema.
Sheikh Yusuf aliposikia jina la eneo hili la stahabu pangani basi alimwambia baba moja kwa moja kuwa mzee yule hakuwa binaadamu ni jini sababu hapa stahabu pangani ni sehemu yenye makazi ya majini .
Baba alishtuka lakini hatukuwa na muda mrefu tukaondoka pale masjid, njia nzima baba alikuwa anarudia kusema tuu Ruhaby Ruhaby Ruhaby hili jina lina maana gani ? Mimi sikusema kitu chochote.
Kufika nyumbani nilivua kanzu yangu nikaenda jikoni dada na mama walipokuwa wakipika kwaajili ya kuchukua chakula . Na baada ya chakula baba yeye alihitaji kupumzika, na huko kwenye kupumzika ndiko alikojua ukweli baada ya kuota ndoto aliyoeleza baada ya kuamka.
Mimi nilikuwa ni mtu wa kukaa sana peke yangu haswa chumbani tuu na kila nikikaa peke yangu ndio huwa wanakuja sana viumbe na nawaona vizuri kabisa. Basi niliingia chumbani na kufunga mlango na kama kawaida nilipoangalia pale ukutani nilimuona mzee Ruhaby katika muonekano wa kuwa amekaa katika kiti na pembeni kuna fimbo na yupo na kitabu chake mkononi.
Lakini muda huu alikuwa akiongea kwa sauti ya chini chini tuu ila ya upole , ila nilimsikia vyema akisema sasa nimemchukua baba yako na kumtembeza kidogo kumzindua aelewe akiamka atakwambia kuna ndoto na atakuuliza mjibu usimfiche.
Imenisaidia sana na bado inanisaidia. Hii kwangu ndio Nuru halisi kutoka kwa Mungu. Sio Nuru feki mnayopata kutoka kwa manabii na wachungaji.Haitakusaidia zaidi ya kukuweka mbali na Nuru
Asalam alykum,MUENDELEZO WA SEHEMU YA NNE:

Haikuchukua muda aliondoka na ghafla niliskia mlango wangu wa chumbani ukigongwa mfululizo nilifungua mlango na baba aliingia pale chumbani.MUENDELEZO WA SEHEMU YA NNE:

Asalam alaykum warahmatullah inaonekana ni mwenye ilmu nzuri mashallah.Asalam alykum,
Nimekusoma toka mwanzo na inaonekana una connection kubwa na majini hasa uliposema umekaa tumboni mwa mzazi wako muda mrefu najua unanielewa ninaposema una uhusiano mkubwa na hawa viumbe wa ulimwengu wa pili, Tuyaache hayo nina maswali machache kwako.
1. Wewe na hawa ndugu zetu katika majini ni katika upande wa nuru au kinyume chake?.
2. Mbali na kuwa na mahusiano na majini wa pande hizo za irani je ushawahi wasiliana na wa upande mwingine mfano wa falme za bahari na milimani?
3. Kwa umri wako unaonekana ni mdogo je wamekupa ruhusa ya kuyaeleza haya kama ndio lengo la wao kukuruhusu ni nini? kutoa elimu au?
4. Kwanini majini wanatumika katika mambo ya sihr sana?
خداوند دانش تو را بیشتر کند، برادر ( Khodaavand daanesh-e to raa bishtar konad, baraadar)

mikuyu imejaa pwaniAnhaa sawa unaota sana karibu na vyanzo vya maji . kwenye mabonde na visima hiviii kwa kule nyumbani nauona sana maeneo hayo . Unatoa matunda yanakuwa na rangi nyekundu hivii. Na kwa muonekano ni kama una rangi nyeupe
Ukiongeza na karafuu inakuwa bora zaidimikuyu imejaa pwani
mim najua kuwa majan ya sidrat ukiyatumia kumuoshea mait wako.hilo kabur haji mtu kufanya chochote hapo
Binaadamu na ndio maana kabla ya kuwa inakaribiana nao upo utaratibu wakufanya kupandisha energy yako na baada ya kukaribiana nao kuna ya kufanya kuweza kurelease nishati yao vinginevyo homa hazitakuishaJe hio mionzi ya nishati Kati ya jini na mwanadamu humuathiri zaidi yupi
Je binadamu wa kawaida anaweza kuwa jiniBinaadamu na ndio maana kabla ya kuwa inakaribiana nao upo utaratibu wakufanya kupandisha energy yako na baada ya kukaribiana nao kuna ya kufanya kuweza kurelease nishati yao vinginevyo homa hazitakuisha