Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
kumbe ni story tu haaa!! UnconsiciousHiyo ni story ya jamaa mmoja anasema yeye ni ukoo wa Simba, alikuwa anapendwa na huyo Jin mkuubwa sana mwenye nguvu kuliko majini wengi anaitwa ARSIS, msome humu yumo JF.
Ukienda kwenye JF search uka type Arsis utauona uzi unaitwa " "niliyoyaona baada ya kufunguliwa macho"
Sio kweli. Wapo ambao hadi hawana dini kabisa na wapo mabaniani na dini zingine kama walivyo binaadamu. Siku moja ukitaka kuwaona wa dini zingine au imani nyingine nambieKwanini majin yana uhusiano wa karibu na uislamu tu?
Nitalifatilia hili kwa karibu sana lina umuhimu mkubwa sanaHuko huko Tanga soma uzi wake kajieleza yeye wa wapi, na jina la hilo jini lake ndiyo hilo Arsis.
Naona wewe unaleta ligi soma uzi wake hakuna mambo ya kugegedana ni story yake.sio hvyo mkuu unaposema jini aris au yoyot haimaanish kwamb atakuw wa jinsia moja tu let say jini mahaba ukiwa wa kiume anakuja dume kukugegedua wew au kam atakuw jin wa kike utamgegedua lakin wote hawa wanajulikan kam jini mahaba haijalish wa kike au kiume hapo umenipat mkuu
Nataka niwaone leoSio kweli. Wapo ambao hadi hawana dini kabisa na wapo mabaniani na dini zingine kama walivyo binaadamu. Siku moja ukitaka kuwaona wa dini zingine au imani nyingine nambie
kabisa mkuu nitumie location nije nikufuat tukatembee angani na dunian hko alaf kabla ya kuludi unanipa mzgo nauchapa bao moja then nakuludishaKumbe upo vizuri kwenye astral projection
Upo uzi wake humu, mreeefu labda mtakuwa mnafahamiana.Nitalifatilia hili kwa karibu sana lina umuhimu mkubwa sana
Story tu kama hii, we ulidhani ni real?kumbe ni story tu haaa!! Unconsicious
nakuhurumia bure maana mmmh! Bora ukutan na dini yak watakuelewa hao wengne waach tu walikoNataka niwaone leo
Haya bwana sina usemikabisa mkuu nitumie location nije nikufuat tukatembee angani na dunian hko alaf kabla ya kuludi unanipa mzgo nauchapa bao moja then nakuludisha
Kasema nikitaka kuwaona wa dini tofauti siku yoyote ni mwambie, nikamwambia nataka niwaone leo.nakuhurumia bure maana mmmh! Bora ukutan na dini yak watakuelewa hao wengne waach tu waliko
siku ukaja kuonana nao utafany nini mana unavowasoma kama vile una watalajia siku moja ukutane naoStory tu kama hii, we ulidhani ni real?
MImi sijawahi kuona majini nasoma story tu za waziletazo humu.
we talk about jinn remember that, hao hawa akili kama zetu kwamb utajiliz liza akuache hakun hyo.Kasema nikitaka kuwaona wa dini tofauti siku yoyote ni mwambie, nikamwambia nataka niwaone leo.
Huruma ya nini sasa?
Tunaona magari , ndege, punda, farasi na vingine vingi kwani huwa tunafanya nini?siku ukaja kuonana nao utafany nini mana unavowasoma kama vile una watalajia siku moja ukutane nao
Wewe umewahi kuwaona? Wakakung'ang'ania?we talk about jinn remember that, hao hawa akili kama zetu kwamb utajiliz liza akuache hakun hyo.
mmmh!?!mngesepundugu mkubwa takpa makofi mngese...achakana kabla sijakuibukia ndotoni
alamski ama kweli upele humuota asie na kucha.Wewe umewahi kuwaona? Wakakung'ang'ania?