Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh, hii kukunja ardhi niliskia kuwa inapunguza umri wa mfanayaji hilo, ama...?
 
alleykum msallam shekh. Hapo kweny hoja yak umeshasem kuw dini za wazungu ungesem za hapa kwet saw lakin wazungu tang hap ni wapotoshaj tena wanatuleng sis watu weusi ko usiamin san maandko yao au wew mzungu shekh?
 
Yaani daah zamani ilikuwa nikisikia tu jini najua hapa ni waharibifu tu plus picha za ajabu ajabu kichwani. Lakini Nowdays mtazamo wangu umebadilika

Nachotaka kwao ni kuwa na ukaribu na urafiki mzuri tu, sema shida ndio na wao kutupokea na kutukaribisha😢

Huwa napenda kujifunza ya ulimwengu
 
Waalaykumusalam warahmatullah kwema uzima upo?
Haya ilivyo ni kuwa uhusiano wa majini wema walioamini uwepo wa Mungu na binaadamu hauna shaka.
Isipokuwa tuu uhusiano huo uwe ni kuelezana yaliyo na heri .
Baadhi ya dini kuwachukulia majini ni viumbe vya ajabu ajabu ni kukosa tuu taaluma sahihi na kukosa kuujua ulimwengu wa roho na kukosa kujua ukubwa wa Mungu katika kuumba.
Bila shaka nimekujibu.
Shukrani
 
Watu wengi wanachanganya kati ya shetani, jini na ifrit hivi vitu wanashindwa kuvijua ndio maana wao kila jini wanajua ni waovu.
Ila ukweli ni kuwa wapo majini ni wema kiasi kwamba binaadamu hafikii wema huo
 
alleykum msallam shekh. Hapo kweny hoja yak umeshasem kuw dini za wazungu ungesem za hapa kwet saw lakin wazungu tang hap ni wapotoshaj tena wanatuleng sis watu weusi ko usiamin san maandko yao au wew mzungu shekh?
Kama ni hivi basi ndiyo maana kwa kutishwa tishwa kwetu na hawa jamaa wanatupita vitu vingi. Sina imani na dini za wazungu shekh.
 
Wenzetu waliowatumia hawa viumbe wapo mbali kiteknolojia, sisi tunaendelea kuaminishwa upuuzi upuuzi tu. Lazima tutafute elimu hii wenyewe kwa kusaidiwa na wenzetu wenye nayo tayari akina Black nyeti, Buraq Mustapha... Tutapata masuluhisho kadha wa kadha katika mambo yetu ya kiafya, kiugunduzi, kiuchumi, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…