kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
. nakushaur mkuu fanya astral plojection ili uende ukapat kufahamu kuhusiana na mamb yote amby unayaon kweny ulimweng wa kimwili huyaelew mana itakusaidia kit kuptia huko utakuw unaelew kila kit kinachokuzungka hata ukitaku kuongea na mnyama yoyot na mukaelewan bila shida yoyot hat mimea pia kwa ujumla utaelew mengi l
A aruhuhusu lakini utajuaje hili ni jema?Asalaam alykm...
Napenda na nimevutiwa na unavyojibu maswali yetu kwa unyenyekevu mkubwa na kwa busara kabisa... Nahisi anayetujibu ni huyu jin mwema! Au la kama ni wewe basi sishangai watu wanaokutembelea na ukatatua shida zao.
SWALI LANGU
Je mwenyezi Mungu, ameruhusu tushirikiane na hawa majini wema? Kama ndivyo kwa nini tumeaminishwa kwenye baadhi ya dini hizi za kizungu kuwa majini ni mashetani na pepo wachafu, kiasi kwamba tukisikia jini unajua ni jitu haribifu tu?
Asante mengi nitakuja inbox.
Kupitia maombi Toba na utakaso kuishi kwa kufanya agano na Mungu nje ya mifumo ya dini unafikia huko vizuri kabisa. Kujiunganisha na walinzi wa NuruMkuu Buraq Mustapha au yeyote mwenye kujua, kuna member aliwahi kuelezea kitu flani kuhusu kusafisha mwili kama ulilishwa vitu vya ajabu na kuongeza nguvu kiroho njia yake ni mfungo wa kula matunda tu kwa siku saba
Je ni kweli? Na pia kuna njia nyingine yoyote ya ukuaji kiroho yaani kuwa na nguvu nyingi za kiroho?)(Tuachane na meditation maana wengine imetushinda)
Yeyote mwenye kujua elimu tafadhali ninakuomba unijuze, naimani wengine watajifunza mawili matatu
Ebu tuliza fuvu vijana wapewe ya ulimwengu wa piliMbona kama promo ya uganga?
Hapa ndipo ninaposota sana, upweke unanifanya kufikiria vitu vya ajabu sana na kufanya vitu ambavyo najitahidi kujizuia.... Inaoneksna kabisa dhambi haiepukikiKupitia maombi Toba na utakaso kuishi kwa kufanya agano na Mungu nje ya mifumo ya dini unafikia huko vizuri kabisa. Kujiunganisha na walinzi wa Nuru
hyo level uliyop kwang mm ndo ilikuw level ya kuamka now nipo mbali mno kunifikia unahtaji kufany mazoez tena tena tena na tena mkuuLevel niliyopo ni kubwa mno mkuu wangu. Siongei na mimea ninawasiliana na mbingu Moja kwa moja
Ilmu haina mwenyewe kaka wapo waliokuwa na ilmu wakaona wamemaliza lakini ikawatoka ikaenda kwa ambao hawana .hyo level uliyop kwang mm ndo ilikuw level ya kuamka now nipo mbali mno kunifikia unahtaji kufany mazoez tena tena tena na tena mkuu
Be waiting for your returnNipo safarini kidogo lakini nawaomba tafadhali kwa kusimama kuwasimulia lakini muda sio mrefu nitawaletea kisa, shukrani nawapenda sana
Nilidhani ulipoanziisha hiki kisa kitakuwa cha kuendelea kumbe na wewe ni walewale wakina arisisi na wenzieNi sahihi hii ifanywe kwa sababu maalum
Nitawapatia kisa kizima na mengine mengi Nia ni kujifunza na kufahamu ulimwengu mwingine vizuriAsante sana. Umenijibu, nimeridhika mkuu. Uzima upo shekh.
Hapa sitoki nipate elim hii adhim. Nitafatilia hadi mwisho, ila usikatishe njiani nakusihi sana.
Be waiting for your return
Nafikiri ni muhimu kuwa muelewa na subra sawa sawa?Nilidhani ulipoanziisha hiki kisa kitakuwa cha kuendelea kumbe na wewe ni walewale wakina arisisi na wenzie
Sifurahishwi na matusi kiukweli acheni bwana matusi ya ninikama unavyolawitiwaga na babako maku we
Mkuu unanyetuka nini???!!! 😂Hapa ndipo ninaposota sana, upweke unanifanya kufikiria vitu vya ajabu sana na kufanya vitu ambavyo najitahidi kujizuia.... Inaoneksna kabisa dhambi haiepukiki
Chief, hiv haya mambo yapo kweli?? Na kwa sisi watu wa dini dini hiz za wazungu je yanawezekana??hyo level uliyop kwang mm ndo ilikuw level ya kuamka now nipo mbali mno kunifikia unahtaji kufany mazoez tena tena tena na tena mkuu