Buraq Mustapha
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 228
- 561
- Thread starter
-
- #481
Hivi ni vito vikubwa sana vinavyosimamiwa na viumbe wakubwa sana.kwann nchi kama irani wanavaa sana ferooz na aqeeq( torquise na agate)?
Vito ni sehemu ya mali yake kwahiyo kuvaa Bado umetii na kumuabudu yeye na sio kito .Buraq Mustapha kwani Allah hatoshi mpaka utumie vito??
Daah kwenye kuingia kuchunguza ndio shida lipo mkuu, ni ngumu kwangu sababu wajua mi ni mgonjwa hivyo kama wafahamu usisite kuniambia mkuu wangu tafadhali. Nachoweza kufanya mimi ni labda kuchunguza mitandaoni ila sasa si unajua huko nako ni shida na asilimia za kupata ukweli ni ndogo sanaNitakujibu kwa juu juu , lakini hapa naomba ufahamu kuwa yasitumike mazoea na kukariri badala yake yahitajika kuingia ndani kidogo kuona hii nyota ya mbuzi imetawaliwa na malaika gani na kwenye ulimwengu wa majini ni jini gani anaiinamia nyota hii kisha ndio swala la kito na aina ya maandalizi yapi kwenye pete inahitajika.
Yote kwa yote nitakupa jawabu hapa hapa
Mkuu mimi nakuelewa sana ujue ila nataka kujuwa wewe hapo ulipo unaweza kusoma nyota ya mtu?Hii ilmu kuhusu pete, vito au mawe ni pana sana, wale wenye maruhani mbalimbali ambao huwataka swahiba zao wa kibinaadamu kuwa na pete yenye vito fulani fulani sio wazembe ruhani hao kutaka hivyo.
Pete ni ufunguo, pete ni alama yenye kubeba vingi sana, ikiwemo nguvu ya ushawishi, heshima, utawala au mamlaka na uongozi.
Kila kito kina nguvu yake na hivi vito vimegawika ndani ya makundi au element kuu nne tuu .
1. Vito vyenye element ya moto mfano ruby
2. Vito vyenye element ya upepo
3. Vito vyenye element ya maji
4. Vito vyenye element ya udongo au ardhi.
Sasa ruhani wako akitaka utafute pete ya aina fulani tayari anakuwa anajua kwa namna gani pete hiyo itaendana na wewe kwa kigezo cha uwiano baina ya kito husika na nyota yako na wakati mwingine hata falme zako za asili.
Majini wapo mbele ya muda katika mambo ya ilmu za siri hili binaadamu mlifahamu wazi kabisa bila kuficha.
Indeed, he's a very promising young man.Allah akujalie unafanya kitu kikubwa sana hapa.
Hongera mkuu kwa kujitambua na kutafuta ukweli ..Mkuu Buraq Mustapha nimepata mawili matatu kuhusu hio nyota ya mbuzi na vito, madini, malaika wake na jini anayeiinamia hii nyota
Malaika wake anaitwa CASSIEL au KAFYAEEL, Siku ya bahati ni Jumamosi na jini anayetawala Jumamosi ni Abuu Nuhu au Aratron
Kito ni Black onyx, Madini ni risasi(lead)
Shukrani mkuu kujitambua ni hatua ya kwanza kuelekea ukombozi wa kweli (TRUE FREEDOM) japokuwa safari bado ni ndefu ila tutafika tu.Hongera mkuu kwa kujitambua na kutafuta ukweli ..
Ndio nafahamu lakini ni kitu nisichopendelea kufanya sababu ndani yake unajua siri za watu wengine hivyo kwanza ni ridhaa ya mtu ndio kufanya jambo hiliMkuu mimi nakuelewa sana ujue ila nataka kujuwa wewe hapo ulipo unaweza kusoma nyota ya mtu?
Upo sahihi mbuzi wanafanana sana na nyota ya ndoo. Kwa kuongezea mbuzi ni viongozi wazuri sana, wenye imani sana na mawanda mapana kifikra. Jambo muhimu kufahamu ni kujua undani kabisa wa kundi la nyota yako mtu. Chapisho za mitandaoni peke yake hazitoshi.Mkuu Buraq Mustapha nimepata mawili matatu kuhusu hio nyota ya mbuzi na vito, madini, malaika wake na jini anayeiinamia hii nyota
Malaika wake anaitwa CASSIEL au KAFYAEEL, Siku ya bahati ni Jumamosi na jini anayetawala Jumamosi ni Abuu Nuhu au Aratron
Kito ni Black onyx, Madini ni risasi(lead)
Umesema sahihi, mola akutangulie katika safari yako ya kujitambua kiroho.Shukrani mkuu kujitambua ni hatua ya kwanza kuelekea ukombozi wa kweli (TRUE FREEDOM) japokuwa safari bado ni ndefu ila tutafika tu.
AmiinAllah akujalie unafanya kitu kikubwa sana hapa.
Unajua ninapoongea nanyi kama hivi kuna mengi sana kuhusu nyie nafahamu lakini siwezi kusema kwa uwazi humu , lakini ni nusu ya kuwaona huwa mambo mengi tuu kuhusu nyie napata kufahamu.Daah kwenye kuingia kuchunguza ndio shida lipo mkuu, ni ngumu kwangu sababu wajua mi ni mgonjwa hivyo kama wafahamu usisite kuniambia mkuu wangu tafadhali. Nachoweza kufanya mimi ni labda kuchunguza mitandaoni ila sasa si unajua huko nako ni shida na asilimia za kupata ukweli ni ndogo sana
Pia maswali kuhusu bangi na wachina bado hujajibu mkuu Buraq Mustapha
Unaweza kutengeneza kikubwa ni kito kiguse mwili na miale yake ipenye katika mwili.Pia kwenye suala la kito je kwani ni lazima watengeneze kwenye pete? Haiwezekani kuitengeneza iwe mfano wa kidan uvae shingoni(kama cheni vile) i au kacha(Culture) uvae mkononi(kifundo cha mkono) , wengine kuvaa pete tunaona kazi asee
Daah mkuu usinifiche mimi nakupa ruhusa na kuomba kuniambia unayofahamu kuhusu mimi. Tafadhali PM mkuuUnajua ninapoongea nanyi kama hivi kuna mengi sana kuhusu nyie nafahamu lakini siwezi kusema kwa uwazi humu , lakini ni nusu ya kuwaona huwa mambo mengi tuu kuhusu nyie napata kufahamu.
Kuhusu bangi ni kuwa yenyewe ni kuwa baada ya mtu kuvuta mara nyingine anaweza kuhisi anaona kitu cha kweli kumbe ni picha tuu katika fikra ingawa muda mwingine huona mambo ya kweli .
Bangi zipo baadhi ya nyakati hufungua maono kwani wapo viumbe wa asili baadhi hutumia tumbaku, bangi na ugolo kujipatia uwezo wa kuona.
Kwahiyo mtu anapoitumia anaweza kuona wachawi ila asisalimike na kufanyiwa madhara.
Black emerald inasimama wapi?tuanzie hapo kwanzaHizi ni baadhi ya picha tuu za vito vyenye kusimamiwa na viumbe vipo vito vingi hivi ni baadhi
Yeah nimekuelewa vizuri sana mkuu.. Inaonekana una maarifa mengi sana mkuhUnaweza kutengeneza kikubwa ni kito kiguse mwili na miale yake ipenye katika mwili.
Lakini jambo muhimu ni kuwa kila kidole kwenye mwili au mkono wa mtu unachokiona kina kazi yake mahususi, kina maana yake na kimebeba mambo yake.
Sasa basi kuna mkono au kidole ambacho hubeba nguvu za mtu za kiroho zoote ikiwemo ufalme wake wa nyota kwahiyo kuvaa pete katika kidole ni kutengeneza uwezekano wa nishati ya kito kufikia ufalme wako moja kwa moja.
Hapa bila shaka umenielewa vyema
Daah mkuu kama waweza nisaidia kuhusu hilo usisite kunisaidia tafadhali. Huwa najua mambo ya rohoni machache sana tena juu juu, inshort mimi ni kama mwanafunzi wa chekechea na unaniagiza kufanya mambo ya chuo kikuu ambayo sina hata uelewa nayo😂😂Upo sahihi mbuzi wanafanana sana na nyota ya ndoo. Kwa kuongezea mbuzi ni viongozi wazuri sana, wenye imani sana na mawanda mapana kifikra. Jambo muhimu kufahamu ni kujua undani kabisa wa kundi la nyota yako mtu. Chapisho za mitandaoni peke yake hazitoshi.
Sasa jitahidi umjue huyu kayfail upande gani ni mtawala rangi zake ni zipi , mbingu ya ngapi yupo, kisomo gani chakufanya kuwa karibu nae vile vile kwa abuu nuhu nae ufahamu vyema kuhusu yeye .
Hapo ufalme wako wa kinyota utakuwa umeujua vyema.