Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Uwepo wa jini wa kukupa habari na maono uwezo huo umepotea sababu ya uwepo wa vifungo, ulaji wa vyakula fulani vyenye kudumaza nguvu za kiroho, mtindo wa maisha usiofaa mfano kutotunza siri, kusema wengine yaani kusengenya na mengine
 
Mkuu nilikuuliza wewe unaweza kusoma nyota ya mtu ili ajuwe avae pete yenye kito cha aina gani?
Naomba nikuelekeze moja kwa moja.
Njia za kufahamu nyota yako ni tarehe ya kuzaliwa pili njia ya kutumia jina .
Ingawa ndanimwe (ndani yake) kuna mengi ya kutazama bila shaka ujumbe wako upo PM nitaingia
 
Buraq upo Tanga sehemu gn mi npo kipumbw apa
 
Buraq Mustapha umeruka swali hapa...
Karibu kwa majibu mujarab.
Vile vile hakuna mzawa mwenye dini badala yake watu huwa wanaunda taratibu zao za kimaisha, dini haihusiani na zao la fikra za binaadamu sababu hajitoshelezi katika mahitaji kila siku huwa na mapya katika uhitaji kukabili maisha yake .
Namaanisha kuwa kama dini ni zao la mzawa wa eneo Fulani tungeshuhudia leo hii karibu kila jamii ingekuwa na dini yao badala yake jamii au wazawa wa eneo Fulani huwa na desturi fulani ambayo hutofautiana na desturi ya wazawa wa eneo jingine
 
Uwepo wa jini wa kukupa habari na maono uwezo huo umepotea sababu ya uwepo wa vifungo, ulaji wa vyakula fulani vyenye kudumaza nguvu za kiroho, mtindo wa maisha usiofaa mfano kutotunza siri, kusema wengine yaani kusengenya na mengine
Hivyo vyakula naweza kuvijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…