Hili swali lilikuwa na mdau mmoja hivi alikuwa anapitia kujibu kwa papara replies akiwa na presha kama anataka kusimama!, kalisoma na kapita kimya.Buraq Mustapha umeruka swali hapa...
Karibu kwa majibu mujarab.
Hapa tuelezane ukweli sheikh.Vile vile hakuna mzawa mwenye dini badala yake watu huwa wanaunda taratibu zao za kimaisha, dini haihusiani na zao la fikra za binaadamu sababu hajitoshelezi katika mahitaji kila siku huwa na mapya katika uhitaji kukabili maisha yake .
Namaanisha kuwa kama dini ni zao la mzawa wa eneo Fulani tungeshuhudia leo hii karibu kila jamii ingekuwa na dini yao badala yake jamii au wazawa wa eneo Fulani huwa na desturi fulani ambayo hutofautiana na desturi ya wazawa wa eneo jingine
Kumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.والحقيقة لا يعلمها إلا الله تعالى.
Ukweli anajua Mwenyezi Mungu peke yake
DaahhhKumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.
Unajua/hujui hata shetwani anamtaja mwenyeezi Mungu na kuna wakati anapata wasaa wanazungumza pamoja?.
Na kwenye moja ya chapisho humu, umekataa wewe haupo ktk mwonekano wa binadamu kutoka Afrika, Ulaya au Asia, الآن من أنت .
Kumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.
Unajua/hujui hata shetwani anamtaja mwenyeezi Mungu na kuna wakati anapata wasaa wanazungumza pamoja?.
Na kwenye moja ya chapisho humu, umekataa wewe haupo ktk mwonekano wa binadamu kutoka Afrika, Ulaya au Asia, الآن من أنت .
[/QUOTE
Sawa
Sawa pole lakiniHapa tuelezane ukweli sheikh.
Muktadha ni dini kwa lugha nyingine ni imani, kwa nini dini?.
Sababu ndiyo mlengo wa njia inayoweza kukusanya jamii kubwa kwa wakati mmoja na kufanya ibada.
Mambo ya wazawa kuwa na utaratibu wao sijui kila jamii kuabudu kivyao yote hayo ni shm ya mkusanyiko.
Leo hii kule India bado watu wanaabudu ng'ombe, nyoka wakubwa (dragon) vinyago nk, na siyo nchi yote bali kila eneo wana wanachokiamini.
Pamoja na kwamba uislam na Ukiristu upo na bado zinafanyika jitihada kubwa kwa wahubiri kupenya kila eneo hapa India, ila bado imani zao zinabaki pale pale.
Usitake kuaminisha uongo kwamba hakukuwa na dini/imani za mzawa wa eneo fulani kabla ya kuja kwa uislam au ukiristu, NO zilikuwepo ila baada ya muingiliano wa kitamaduni kati ya jamii za waarabu na wazungu, ndipo ukaambiwa mfuate Allah/Mungu wa mbinguni.
Mkuu mbona kimyaSawa pole lakini
Dah! hizi Nondo leo hapa ni [emoji91]Kumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.
Unajua/hujui hata shetwani anamtaja mwenyeezi Mungu na kuna wakati anapata wasaa wanazungumza pamoja?.
Na kwenye moja ya chapisho humu, umekataa wewe haupo ktk mwonekano wa binadamu kutoka Afrika, Ulaya au Asia, الآن من أنت .
Mambo yashaanza kuchemkaKumtaja Mwenyeezi Mungu kwamba ndiye anajua haiwezi kuwa sababu ya wewe kuwa siye watu wanaemhisi.
Unajua/hujui hata shetwani anamtaja mwenyeezi Mungu na kuna wakati anapata wasaa wanazungumza pamoja?.
Na kwenye moja ya chapisho humu, umekataa wewe haupo ktk mwonekano wa binadamu kutoka Afrika, Ulaya au Asia, الآن من أنت .
Pole ya nini sheikh?Sawa pole lakini
Kwamba yeye ni binadamu au jini?Pole ya nini sheikh?
Tupashane ukweli bana wewe!.
Kwamba yeye ni binadamu au jini?
Tehe tehe tehe huyu mimi Nina shida naye awe jini au binadamu
Mfuate inbox naona wengi wamejaa kule hadi inbox yake inalemewa msg 😂!.Tehe tehe tehe huyu mimi Nina shida naye awe jini au binadamu
Kama ni jini hatajibu sms zanguMfuate inbox naona wengi wamejaa kule hadi inbox yake inalemewa msg 😂!.
Eleza shida yako hakuna tatizoTehe tehe tehe huyu mimi Nina shida naye awe jini au binadamu
Unahitaji nini kwani ili iwe wepesi kukujibu