Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Wewe ulikua na sifa gani hadi vikakufata? Kwa dini yenu sio dhambi kuchangamana na viumbe vya namna hiyo
Kukaa tumboni miezi kumi na moja na wiki mbili tayari mpaka hapo nafikiri mauza uza ushayaona na kupata kujua ni mtu wa vipi, mengine kuweka wazi sio bora sana naona
 
Wewe ulikua na sifa gani hadi vikakufata? Kwa dini yenu sio dhambi kuchangamana na viumbe vya namna hiyo
Kukaa tumboni miezi kumi na moja na wiki mbili tayari mpaka hapo nafikiri mauza uza ushayaona na kupata kujua ni mtu wa vipi, mengine kuweka wazi sio bora sana naon
 
Mkuu jaba ni nini ,naliona ona tu hili hasa kwa wakenya.
Lina maana tofauti kulingana na unatumia kwa muktadha gani,kwa hapo nimemaanusha ni kama story za vijiweni zisizo na mantiki,nimeishi kidogo kenya
 
Kukaa tumboni miezi kumi na moja na wiki mbili tayari mpaka hapo nafikiri mauza uza ushayaona na kupata kujua ni mtu wa vipi, mengine kuweka wazi sio bora sana naon
Kuchangamana na hivyo viumbe sio dhambi? Na wewe ni kwanini vilikufuata vina/unavisaidia jambo gani haswa?

Ni maagizo ya Allah wewe kushirikiana nao?
 
Haichekeshi wala haivutii.

Pumbavu.
 
Kuchangamana na hivyo viumbe sio dhambi? Na wewe ni kwanini vilikufuata vina/unavisaidia jambo gani haswa?

Ni maagizo ya Allah wewe kushirikiana nao?
Nafahamu wasiwasi wako ulionao lakini zama tena katika kusoma ilmu zilizofichika jawabu utalipata .
Sina jawabu zaidi .
Lakini nao hao viumbe hufata watu kadhaa kujifunza mengi na mengi hukumu yake mola ni ya binaadamu na majini na rehma zake mola ni kwa binaadamu na majini hivyo ni viumbe wameumbwa kama binaadamu na wapo walioamini na kukufuru al muhimu ni kujua upo na uswahiba na wa kundi gani
 
Ni miji ya zamani sana yenye historia ndefu vilevile ni ardhi yenye majangwa mengi ambayo hakuna wakazi hivyo huko hukaa bila kubughudhiwa na muingiliano na jamii ya binaadamu
Je ulitumia usafiri upi kutoka Tanga Hadi irani,je teknolojia ya majini iko juu kuliko ya mwanadamu na je kwanini makazi yao hawapendi kuchangamana na wanadamu
 
Je ukitumia usafiri upi kutoka Tanga Hadi irani,je teknolojia ya majini iko juu kuliko ya mwanadamu na je kwanini makazi yao hawapendi kuchangamana na wanadamu
Kilichotumika ni kitu kinaitwa tel Al ard au ardhini ( kukunja ardhi kupunguza umbali ) ni sawa sawa na kuvusha mguu kutoka kizingiti cha mlango kwenda nje ni muda mfupi sana upo Tanga na muda mfupi sana upo Iran.
Na hii ni sehemu ya ilmu katika kusafiri hakuna kipando unapanda ila ni kukunja ardhi na kupunguza umbali kufumba na kufumbua upo Iran.
Sababu ya wao kujitenga ni energy difference baina ya majini na binaadamu.
Nishati ya majini na binaadamu ni tofauti hivyo kuna mmoja humuathiri mwenzie kwa miale au mionzi ya nishati ya mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…