Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Miezi 3 apate maumivu ya mgongo?

Hizi ni stori za kusadikika tu! Scania 6x4 yenye leaf spring ikiua siti, mtikisiko wake ni sawa na mchina tu.

Tunayo 114 moja mtikisiko wake ni kama howo tu na kijana anadunda nayo miaka na miaka!

Tatizo hamfatilii haya mambo..

R470 ya SA ikiua busta ya siti, haitofautiani na massey Ferguson..
 
Naelewa nachokisema mkuu...

Nipo huko mudaaa
 
kazi za vifusi kazi za howo , fuso , nk , baba scania safari ndefu mzigo mzito , scania kama ngumi ya sikio inauma kuinunua ukinunua umeshinda vita,gari unanua unaoa unazaa unasomesha chuma kina leta mayai tu acheni ujinga mnaotaka kujadili hapa
 
Gari ya kichina ni kama maji!!
usipooga, utakunywa tuu
 
Kaa kimya ,hujui magari , muwe mnaacha ujuaji kwenye vitu msivyo vijua ,
Yaani hayo mabati bati ya kichina ndio ulinganishe na chuma cha msweden ,umerogwa wewe .
Ulishaona hayo mabati bati yakipata ajali au kupiga RUTI ndefu ?
 
Mchina si janja janja tu ,unategemea nini kwa nchi inayotumia wafungwa kama forced labour ya enzi za utumwa kuzalisha bidhaa ? ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…