Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Dereva wa Howo ndani ya miezi 3 lazima aanze kutumia dawa za maumivuu ya mgongoni.. Akizidisha miaka 2 bhas na kazi kule maeneo inakuwa hamna.. Dakika tu kwishaa...

Kwa kazi za muda mfupi kama miradi Howo ni best option and efficient.. Engine ndogo, fuel consumption kidogo na inabeba mzigo mkubwa kuliko Scania.. Ila durability ni ndogo..

Kwa mradi ni sawa maana unaipigisha kazi miaka 5 then unaitema..
Miezi 3 apate maumivu ya mgongo?

Hizi ni stori za kusadikika tu! Scania 6x4 yenye leaf spring ikiua siti, mtikisiko wake ni sawa na mchina tu.

Tunayo 114 moja mtikisiko wake ni kama howo tu na kijana anadunda nayo miaka na miaka!

Tatizo hamfatilii haya mambo..

R470 ya SA ikiua busta ya siti, haitofautiani na massey Ferguson..
 
Miezi 3 apate maumivu ya mgongo?

Hizi ni stori za kusadikika tu! Scania 6x4 yenye leaf spring ikiua siti, mtikisiko wake ni sawa na mchina tu.

Tunayo 114 moja mtikisiko wake ni kama howo tu na kijana anadunda nayo miaka na miaka!

Tatizo hamfatilii haya mambo..

R470 ya SA ikiua busta ya siti, haitofautiani na massey Ferguson..
Naelewa nachokisema mkuu...

Nipo huko mudaaa
 
Daah tuko burundi hapa juzi natoka kusalimiana na jamaa wa HOWO sisi tuna Scania(Zote za MO) dakika 5 nyingi kuingia wasap group limewaka moto picha zinatumwa wanasema jamaa kapata ajali kuangalia gari imeingia mtaroni kichwa chote hakitamaniki na Jamaa Kafariki on spot mwili hautamaniki..nikabaki kusema tu(Mchina ni mchina tu)yaani ajali ndogo ila outcome gari halitamaniki
Point yangu ni:
HOwo hana stamina ya mzigo mzito.
Hana stability ya safari ndefu
Ni mlaini sana
Yaani usiombe uwe na mzigo mzito kwenye mpando na howo
Gari ya kichina ni kama maji!!
usipooga, utakunywa tuu
 
Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo mabei yake yanaumiza sana sana , Wazungu wahuni sana wanatupiga bei sana , Asante mchina , mascania yatakuja kuozea huko kwenye yard zao Uingereza . Nawapongeza matajiri waliohamia kwenye gari za Kichina wameenda na Alama za nyakati View attachment 2635647View attachment 2635649
Kaa kimya ,hujui magari , muwe mnaacha ujuaji kwenye vitu msivyo vijua ,
Yaani hayo mabati bati ya kichina ndio ulinganishe na chuma cha msweden ,umerogwa wewe .
Ulishaona hayo mabati bati yakipata ajali au kupiga RUTI ndefu ?
 
Naupenda mtindo wa mzungu, anafanya kazi moja kwa uhakika na unamlipa hela ya maana.

Mchina anafanya kazi nyingi kwa kulipua na unamlipa pesa ya madafu.

Mwisho wa siku mzungu anakuwa valuable, bwana. Na mchina anakuwa valueless, mtwana.

Wanapenda kutumia malighafi cheap sana kuunda vitu vyao. Waige hata mjapani basi aargh.
Mchina si janja janja tu ,unategemea nini kwa nchi inayotumia wafungwa kama forced labour ya enzi za utumwa kuzalisha bidhaa ? ,
 
Back
Top Bottom