mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Miezi 3 apate maumivu ya mgongo?Dereva wa Howo ndani ya miezi 3 lazima aanze kutumia dawa za maumivuu ya mgongoni.. Akizidisha miaka 2 bhas na kazi kule maeneo inakuwa hamna.. Dakika tu kwishaa...
Kwa kazi za muda mfupi kama miradi Howo ni best option and efficient.. Engine ndogo, fuel consumption kidogo na inabeba mzigo mkubwa kuliko Scania.. Ila durability ni ndogo..
Kwa mradi ni sawa maana unaipigisha kazi miaka 5 then unaitema..
Hizi ni stori za kusadikika tu! Scania 6x4 yenye leaf spring ikiua siti, mtikisiko wake ni sawa na mchina tu.
Tunayo 114 moja mtikisiko wake ni kama howo tu na kijana anadunda nayo miaka na miaka!
Tatizo hamfatilii haya mambo..
R470 ya SA ikiua busta ya siti, haitofautiani na massey Ferguson..