Ulimwengu wa Scania unaisha. Zuchu Howo ndio mpango mzima

Mkuu unajua ubora wa scania au unaropoka tu??????? Je ushawahi kumiliki lori????
 
Scania daima itabaki kuwa scania tu....kwa wanaojua mambo ya magari /ma-Tx Drivers ama wamiliki wa magari ya mizigo/abiria....

Ila kwa wamiliki wa (Vyombo vya usafiri ) hawatanielewa katu....!

Kuna Gari, na Chombo cha usafiri! Kuna tofauti kubwa hapo.
Hivyo ulivotaja ni Vyombo vya usafiri.

Salute kwenu Sub-Scania hapo Vingweta(Vingunguti)
 
Ndio maana madereva wa masafa wanapenda dawa za kienyeji kwenye chupa za maji utaona mizizi na vipande vya miti.
 
Kwa biasharaa ya mabus ya abiria bado Mchina ni the best anarejesha pesa haraka sana kuliko scania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…