Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Siku ya hukumu!

Hukumu ya CCM?

au

Hukumu ya Mungu?

Hukumu ya CCM ndio yenye ulinzi mkali.

Ila ya Mungu..

Haina ulinzi mkali, iakini ndio hukumu ya haki.
ok sawa gentleman ,
but there will be tyty security on judgement day πŸ’
 
Mkuu, Wala hilo siombi litokee.
1. Inawezekana kuwa chini ya uangalizi. Sijui huwa munauitaje.
2. Inawezekana pia akapeta. Si unajua mambo ya Sheria?
Ushauri: jitayarishe kwa lolote.
 
Mkuu, Wala hilo siombi litokee.
1. Inawezekana kuwa chini ya uangalizi. Sijui huwa munauitaje.
2. Inawezekana pia akapeta. Si unajua mambo ya Sheria?
Ushauri: jitayarishe kwa lolote.
mshindi ni sheria na katiba ya nchi gentleman na si vinginevyo πŸ’
 
Kwa akili hizi.
Mganga kukupadlsua Laki Tano na ushee alikuwa sahihi
kumbe uganga ni gharama hivyo gentleman?

kumbe mapiga ramli yanaweza kua yanavuta mkwanja mrefu sana tu kutoka kwa wajinga ee?
 
ICC ni unafiki tu , wangeanza kumkamata Sisi wa Misri pamoja na Nyetanyahu
nadhani wangeanza na Jorge Bush Jr, na Tony Blair walioangamiza mamilioni ya raia Iraq wasio na hatia 2003 ingependeza zaidi πŸ’
 
as visionary politicians in this beautiful country, I can see things coming as it is from far πŸ’
Just like when you saw bullets missing him in DODOMA?
 
Why should I? Its enough to notice that you got my point. Didn't you?
my concerns are about JF members to understand what you mean, because your comment is completely out of the motion on the table πŸ’
 
my concerns are about JF members to understand what you mean, because your comment is completely out of the motion on the table πŸ’
If it is understandable to you, then it is enough.
 
Kangaroo 🦘 Court, kwenye mahakama ya wazi na haki LISU Hana KESI yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…