Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Lissu Hana KESI yoyote kwanza Mimi ningekua katuga ningeweka wazi hadharani..

Leo dar es salaam ni mvua day
sasa mbona Amani, Brenda na heche wamemkaanga na kumsagia vizuri sana pale kizimbani na ni mashahidi wake?

ina maana hawataki atoke bali apigwa kitanzi, right? au hukuona mikaango yao gentleman?πŸ’
 
sasa mbona Amani, Brenda na heche wamemkaanga na kumsagia vizuri sana pale kizimbani na ni mashahidi wake?

ina maana hawataki atoke bali apigwa kitanzi, right? au hukuona mikaango yao gentleman?πŸ’
Kaka
Tatizo lako unaji Zima data

Kati ya katambi na akili kubwa LISU je ni nani alitakiwa kuwa waziri?! Jijibu mwenyewe

Umeiona picha chivayo kamu hug mama hata bado EDA haijaisha
 
Kaka
Tatizo lako unaji Zima data

Kati ya katambi na akili kubwa LISU je ni nani alitakiwa kuwa waziri?! Jijibu mwenyewe

Umeiona picha chivayo kamu hug mama hata bado EDA haijaisha
sasa mbona unatapatapa sana gentleman? una mambo mengi sana leo right?πŸ’
 
Na kila mwana Chadema atakuwa nabii na kuja na utabiri wake!
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumika vibaya, Kodi za watanzania zinatumika vibaya, kwa kesi ya kutungwa, kesi ya kisiasa isiyo na uhalisia wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…