Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

Kwa hiyo uko zako unafurahia mwenyewe....
 
Ulichoandika kilionekana siku ya kwanza ya usikikizwaji wa kesi.
Kama ilitolewa amri ya kuua holela, Polepole n.k walizimwa, Nchimbi akatimuliwa, ......
Je ni ubatili gani tena zaidi unaotarajiwa?
Itafika Rufaa ili watu waenselee kuishi kwa 'amani'.
Kumbuka: Dhuluma haijawahi kuacha mtu/jamii yoyote salama
 
Kwa hiyo uko zako unafurahia mwenyewe....
ulinzi ukiimarishwa si kuna kua na uhakika wa usalama gentleman.

ni muhimu waTanzania kufanya kazi zao katika mazingira ya furaha na amani gentleman πŸ’
 
Ulichoandika kilionekana siku ya kwanza ya usikikizwaji wa kesi.
Kama ilitolewa amri ya kuua holela, Polepole n.k walizimwa, Nchimbi akatimuliwa, ......
Je ni ubatili gani tena unasubiriwa?
hii haihusiani na hoja mahususi mezani, right gentleman?πŸ’
 
Huyu Mungu unayemtaja, atakuwa Nsyuka(Zaribebuye,Artemi)!
 
Huyu Mungu unayemtaja, atakuwa Nsyuka(Zaribebuye,Artemi)!
si unajua wale majamaa hua yanatukana na kuporomosha matusi weeeee, halafu baada ya muda wanaanza kumtaja Mungu πŸ’
 
Nyie fanyeni dhihaka na maisha ya watu, siku hiyo itakua ndiyo "Referundum" kwa hukumu yoyote ikitolewa, aachiwe au ahukumiwe kunyongwa!!! Kila nyumba watu watatoka na sijui mtauua wangapi. Hiyo itakua kwa ihari siyo kulazimishwa, watu watajisikia tu wako barabarani; uoga wote huwa unakwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…