Ulinzi kuimarishwa maradufu siku ya hukumu ya kesi ya uhaini.

hakuna mzaha kwenye masuala ya ulinzi na usalama wa waTanzania wote gentleman.

wala hakuna dhihaka katika kusimamia sheria na katiba ya nchi.

kwahiyo,
mmepanga kukinukisha baada ya hukumu gentleman?🀣
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumika vibaya, Kodi za watanzania zinatumika vibaya, kwa kesi ya kutungwa, kesi ya kisiasa isiyo na uhalisia wowote.
umoja, amani, ulinzi na usalama wa waTanzania wote vitafanywa ngwa nguvu na gharama yoyote ile ndugu mdau. Hakuna mzaha wala mbambamba zozote zile kwenye hilo πŸ’
 
umoja, amani, ulinzi na usalama wa waTanzania wote vitafanywa ngwa nguvu na gharama yoyote ile ndugu mdau. Hakuna mzaha wala mbambamba zozote zile kwenye hilo πŸ’
Nyie siku zote hamna nia njema na ili taifa zaidi ya matumbo yenu na familia zenu, mpo tayari hata kutumia rasilimali hovyo hovyo ilimradi mlinde vyeo vyenu na madaraka na siyo kwa maslahi ya taifa
 
Wasira alisha Sema, labda mahakama itende kinyume chake
 
Nyie siku zote hamna nia njema na ili taifa zaidi ya matumbo yenu na familia zenu, mpo tayari hata kutumia rasilimali hovyo hovyo ilimradi mlinde vyeo vyenu na madaraka na siyo kwa maslahi ya taifa
gentleman,
yaani wewe ndio mwenye nia njema zaidi na taifa right? na kwamba wewe huangalii tumbo lako unaangalia matumbo ya wengine tu, right?
au unasema tu hayo na hizo porojo zingine kwasababu una uhuru wa kutosha na haki ya kumbwelambwela kadiri uwezavyo?

kuimarishwa kwa ulinzi na usalama wa nchi ni kwa maslahi ya taifa na si vinginevyo
 
Lisu kuhukumiwa litakuwa sio swala jpya labda kama kama ataachiwa ndo itashangaza.
Mimi Kwa maoni yangu mahakama zetu zilishapoteza imani hiyo pale yanafianyika maigizo TU. Mimi nasimamia kauli za kiongozi komredi wasira lisu akiendelea kukomaa ataozea jera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…