PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unategemea nini kwa mtu aliyepata D moja tu form 4 tena ya kiswahili? Huku masomo mengine yakiwa kapata F zote?
 
Kafa huyo, hajajificha!

View: https://youtu.be/4vbzTJ2FrkI?si=aeCMgKpvAPH4xdf4
View: https://youtu.be/lvtkQZiBYog?si=CFVvnN6qiLHs1m_i
 
Whoo are you?
 
magufuri alipoahirisha alisambaza mabunduki mtaani na kufungia ndani watanganyika au akili yako ina kaswende
 
Anaishi kama digidigi, kajificha kwenye mapori huko Dodoma..... ashukuru kuwahonga jeshi
 
Hii Hali ya kusimamisha shughuli za kiuchumi hatupaswi kuizoea.
Ni ujinga sana hoja za kisiasa wanatumia bunduki kujibu hoja matumizi mabaya kwa jeshi la letu la wananchi na kulichafua jeshi na siasa zao zilizoshindwa
 
Bibi yako anaenda kunyea debe ICC.
Ngonjera hizo kaka. Netanyahu kaua wapalestina laki tano mpaka leo anadunda mitaani.

DRC na Rwanda wamepigana miaka na miaka mashariki mwa DRC, Trump kawaita White House kusaini nao mikataba inayomuwezesha Marekani kuuza dhahabu na madini ya eneo hilo.

Balozi mdogo wa USA kaenda kuonana na Rais pale Dodoma, kama vile hakuna kilichotokea October 29, dunia ya kisasa inatazama zaidi maslahi kuliko hizi simulizi za mauaji yanayotokea kwenye nchi fulani.
 
Hakuna serikali duniani inayoweza kumridhisha kila mtu. USA wanapambana na maandamano tangu Trump ameingia ikulu. Huwezi kusema kwamba Trump hajafanya chochote cha maana licha ya kila siku watu kuandamana na mabango mikononi.

Yaliyotokea October 29 yalikuwa mapinduzi bubu, hayakuwa maandamano kwa namna yoyote ile.

Hakuna maandamano watu wanavamia vituo vya polisi na kupora silaha kisha kuwaua polisi wanakuwa zamu.

Hakuna maandamano watu wanakatwa vidole kisa wamepiga kura. Ule ulikuwa ushenzi na kizuri ni kwamba Rais Samia aliukomesha kwa kuwachapa risasi wajinga wote waliofanya zile vurugu.

Huu ni upepo mbaya lakini utaingia kwenye kurasa za historia muda mfupi ujao. Yaliyotokea October 29 yakishahamia kwa Museveni yale yaliyotokea huku kwetu yataanza kusahaulika.
 
Maana ya kukomesha ni kwamba ni kwamba yasingekuwepo tena ila jana vyombo vya ulinzi walitanda mji mzima kuzuia hicho unachosema kilikomeshwa.
 
Hata yeye anajua hilo na amejiandaa kukabiliana nazo.
Kwa Marais wa nchi maskini ikiwemo Tz ni easy sana kujikuta hatma yako iko mikononi mwa ICC na wakubwa wengine wa dunia hii kutokana na yaliyotokea Oct 29. Rejea kisa cha yule wa Ufilipino na wa Bangladeshi. Ngumu kwa nchi strong militarily ikiwemo China na Urus. ICC kuna uwezekano mkubwa watamwita. Ushahidi wa awali dhidi yake ni mwingi. Anachoweza fanya maza labda tu ni kukataa wito wa mahakama ya ICC na kuanza kuishi kama digidigi. Angekua na power aliyonayo Putin asingekua na hofu. Ila kibongo bongo ataishi maisha very stressful. Pia ataishi na hofu na hatari ya kuuzwa na weusi wenzie wasio na maslahi naye. Binafsi hata wasaidizi wake (makamu, waziri mkuu) siamini wapo upande wake fully. Kwa kifupi hali ni mbaya.
 
Wewe ndo walewale Je umesaidia VIJANA wangapi mpaka Sasa kuwapeleka ulaya ulipo wakabebe box
 
Maana ya kukomesha ni kwamba ni kwamba yasingekuwepo tena ila jana vyombo vya ulinzi walitanda mji mzima kuzuia hicho unachosema kilikomeshwa.
Tanzania katika utajiri ilionao imezungukwa na maadui wa humu afrika na huko ughaibuni. Haijaanza leo wala jana kupambana na maadui wanaotukwaza na vita itaendelea hata baada ya hawa vijana wa Gen Z wakishakuwa watu wazima tayari.

Mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe, tutaendelea kuyakwepa hayo mawe yao.
 
Unaota au umeamka usingizini tayari mbona povu kamalote.
 
Kama hivyo basi sasa hivi hao maadui wamekuja kwa kasi sana hadi imefikia hali ya kutufanya kumwagana damu wenyewe na kuharibu miundombinu, na jana wameweza kutuwekea matishio na kufanya nchi nzima kuwa kimya na kushindwa kusherekea sherehe za uhuru.
 
hali ya jana wala sio ya kujipiga kifua na kusema kwamba ccm wameshinda.... ile ni AIBU ya mwaka...na kwa kifupi vijana Gen Z wameshinda kwa kishindo....Samuye anajijua na anajua wazi kabisa kuwa hana uhalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…