PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

PostGE2025 ‘Ulipata’ kura zaidi ya milioni 31 lakini leo umejificha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mpo wengi huko USA, kabla hamjahamasisha vurugu Tanzania anzisheni vurugu za kumng’oa Trump kupitia akaunti zenu za mitandao ya kijamii kwa sababu amewatukana wasomali ambao ni wahamiaji kama nyie.

Andaeni vurugu mkaichome Capital Hill, Hollywood, na Whitehouse. Nendeni mkachome sub way na vituo vyake, vituo vya polisi na mali za wanasiasa wa Republican.

Mkishamaliza hayo basi ndo mwende Tanzania mkahamasishe vurugu mkiwa na mifano hai. Tofauti na hapo tulieni, pigeni kazi maisha yaendelee.
Wasomali walijitenga wenyewe na wanajitenga kila wanapokuwa unless kama kuna msaada/misaada wanahitaji kutoka kwako hivyo wapambane na hali zao wenyewe.
Huyo malaya ya Kizanzibari tutapambana naye mpaka Tanganyika ipate uhuru.
JF bado mnaendelea kuifungia(kwa sasa illegally) lakini mmejazana ku-enjoy freedom of expression though bado mnamuwinda Melo na kumsababisha kuendelea kuishi mafichoni.
 
Basi nyie wazee pambaneni naye bila kutumia mgongo wa Gen Z.
 
Basi nyie wazee pambaneni naye bila kutumia mgongo wa Gen Z.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Yeye anatumia wasiojulikana to terrorize the Tanganyikans kwa kuteka, kufira na kuua hivyo na raia inawalazimu kutumia collective forces kumkabili malaya shangingi kutoka taifa la Zanzibar. We’re literally fighting for Tanganyika freedom.
 
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Yeye anatumia wasiojulikana to terrorize the Tanganyikans kwa kuteka, kufika na kuua hivyo na raia inawalazimu kutumia collective forces kumkabili malaya shangingi kutoka taifa la Zanzibar. We’re literally fighting for Tanganyika freedom.
Kwa haya matusi ndo maana hamfanikiwi. Wewe ni mfano halisi kwanini tunaitwa nyani. Kweli wewe ni Monster, kama kuna watu wanakufuata wewe basi pole yao
 
..Maza angeweza kutuepusha na yaliyotokea kama angetekeleza kwa dhati 4R zake, na kurekebisha Tume ya Uchaguzi.

..Kwani tungeahirisha uchaguzi na kufanya marekebisho ktk Tume kama walivyopendekeza Chadema nchi ingepata hasara gani?
Hivi mkuu zile story za Habil nawewe ulijaa kwenye mfumo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
..Maza angeweza kutuepusha na yaliyotokea kama angetekeleza kwa dhati 4R zake, na kurekebisha Tume ya Uchaguzi.

..Kwani tungeahirisha uchaguzi na kufanya marekebisho ktk Tume kama walivyopendekeza Chadema nchi ingepata hasara gani?
CHADEMA walionyesha ubishi tangu mwanzo kabisa. Baadae Lissu akaja na kauli ya 'kukinukisha' na tukashuhudia namna kilivyonuka October 29.

Pia CDM wanadhani wao ndio chama pekee cha upinzani wanasahau kuwa vipo vyama vingine 16, vipi kila chama kingekuja na matakwa yake na kikataka yatekelezwe kwa asilimia 100?.

Lissu na Heche hawazijui siasa za kujishusha kwa faida ya wote.
 
Hoja yako ingekuwa na nguvu kama ungesema ''Nyerere. Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM' walipingwa kwa maandamano ya Wananchi. Kumbuka hawakuwa Wapinzani bali Watu wa itikadi zote
Kwenda Marekani haina maana, tujadili kwa hapa nyumbani kwa mfano wa Marais 5 waliotangulia

Na kama ni mapinduzi bubu nani aliongoza? Jambo zuri viongozi wa upinzani walikuwa mahabusu
Kama ni mapinduzi bubu what's the motive behind? Kwanini iwe leo baada ya miaka 64 ya Uhuru

Polisi wangapi waliuawa?

Kama serikali inasema kulikuwa na ''collateral damage'' wakati wa kuzuia maandamano kwanini huamini 'collateral damage'' ya kuandamana. Hivi hujui kuna opportunists katika jamii kama walivyo chawa wa CCM.

Well, Kikwete aliwahi kusema ''ni upepo utapita''. CCM wakaamini hivyo hata MO29 walidhani ni upepo.

Yatasahaulika kwasababu hayataandikwa katika media kama alivyosema Msigwa, kwamba, kuficha maovu ni uzalendo. Hata hivyo kilichotokea kimebadilisha kabisa sura ya nchi, nyoyo za watu hata viburi vya watawala

Badala ya viongoi kutafuta '' flimsy excuses '' wanapaswa kutambua kilichotokea kinaitwa ''social unrest'' ambayo wataalam wa social and political science wanakubaliana chanzo chake kuwa inequalities and injustices within a society. Kwa Tanzania social unrest haikuanza MO29 ilianza siku nyingi! MO29 ilikuwa ni climax tu. Unakumbuka Tume ya Jaji Chande kuhusu '' reform of the criminal justice system'' ! ili fit definition ya social unrest. Unakumbuka Wananchi kuongelea mishahara ya Wabunge,marupu rupu ya viongozi na maisha ya kifhari ya viongozi! ili fit definition ya inequalities

JokaKuu
Hizo social unrest zipo dunia nzima, hata USA na Ulaya kuna hizi kasheshe za maandamano, haizui ukweli kwamba yale yalikuwa mapinduzi bubu.

Hakuna maandamano katika mazingira ya watu kuchoma moto kituo cha polisi.

Sina idadi kamili ya polisi waliouwawa lakini wapo, usidhani wale jamaa wenye fulana nyeusi waliamua tu kupiga watu risasi bila ya sababu, walikuwa wanapambana na nguvu kubwa ya chini kwa chini.

Ule ulikuwa upepo mbaya uliokuta serikali imejikita kwenye uchaguzi ikiwa imepeleka rasilimali watu kubwa kwenye eneo moja wale wahuni wakautumia mwanya huo kufanya vurugu kubwa. Tarehe 9 Desemba hakufa hata mtu mmoja, serikali iliweza kujipanga vilivyo.

Samia ukiwasikiliza wajuaji wa majiji makubwa huku Dar na mikoa michache hajafanya kitu, lakini ukisogea huko mikoani kwa ukaribu utaona mengi sana anayoyafanya.

Hizi negative news zinatengenezwa na kina Maria Sarungi na Mange hawa watoto wa wakubwa hawajui chochote kuhusiana na masuala ya kiuchumi yanayoendelea kwa mapana yake Tanzania nzima, wanadaka umbea kisha wanaueneza kwa kuongezea habari hasi.

Tanzania itashinda licha ya uwepo wa mapambano mengi ya mitandaoni.
 
Mapumziko hayo ni hadi kwa usafiri wa umma nao ukapumzika watu wanashindwa kutoka sehemu moja na kwenda sehemu nyengine? Hakujawahi kuwa na 9 desember ya aina ile nchi nzima imetulia tuli.
Vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wameishi kwa kudekezwa, kiasi kwamba hawana uwezo wa kupokea kile ambacho hawakifahamu au hawakubaliani nacho. Haraka sana watakimbilia kukutukana kwenye comment wakishindwa kuvumilia mawazo tofauti na ya kwao.

Walikuwa hawalifahamu jeshi letu kwa mapana yake lipo vipi, hawakuijua nguvu yake ipo vipi. Mara moja moja lazima tuchapane makofi ili tukiamka asubuhi ianze kusikika shikamoo kabla ya maongezi mengine.
 
..sijawahi kumfuatilia Habil.

..lakini ukweli lazima usemwe kwamba Maza hakutakiwa kuteka, wala kuuwa, mtu yeyote.

..watu walikuwa na matumaini makubwa naye, lakini amewaangusha.
Ni sawa lakini approach ya NRNE haikua sahihi na kadiri muda unavyokwenda unatuambia!!

Japo Samia hayuko sahihi na bado anaishi kwenye mfumo Magufuli (huu itachukua muda sana CCM kuondokana nao)

Nitaendelea kusema Lissu na ile sura ya harakati aloingia nayo CDM was not an option!!
 
Vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wameishi kwa kudekezwa, kiasi kwamba hawana uwezo wa kupokea kile ambacho hawakifahamu au hawakubaliani nacho. Haraka sana watakimbilia kukutukana kwenye comment wakishindwa kuvumilia mawazo tofauti na ya kwao.

Walikuwa hawalifahamu jeshi letu kwa mapana yake lipo vipi, hawakuijua nguvu yake ipo vipi. Mara moja moja lazima tuchapane makofi ili tukiamka asubuhi ianze kusikika shikamoo kabla ya maongezi mengine.
Naelewa kwamba utulivu(sio amani) wa hii nchi ulejengwa kwenye uwoga na ndio maana kuelekea Mo29 jeshi lilikuwa linatumia mbinu yao waliyoizowea ya kutisha waandamanaji ila baada ya kuona wananchi hawatishiki tena ndio wakaamuwa kutumia silaha kwa watu ambao hawana silaha na ndio hicho ndio unachosifia wewe kuwa ndio uwezo wa jeshi letu kuuwa watu wasio na silaha. Ila pamoja tukio kubwa kama hilo basi tusingetegemea kuwasikia tena kuhusu hao vijana ila D9 hao hao vijana wakasababisha serikali kuahirisha sherehe za uhuru na nchi kuwa kama chini ya jeshi.
 
Maajabu ya Samia hayo!

Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.

Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.

Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.

Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.

Ni siku kubwa.

Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.

Hajulikani alipo. Kajificha 😀.

Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.

Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.

Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.

GenZ wa Tanzania kiboko aisee.

Yaani they are basically calling the shots.

Hey Samuya, where are you? 😂
Awamu hii ataimaliza kwa taabu sana! Rais gani utaongoza kwa kujificha? Limeingizwa choo cha kiume na kukuta wanaume wanakojoa!
 
Naelewa kwamba utulivu(sio amani) wa hii nchi ulejengwa kwenye uwoga na ndio maana kuelekea Mo29 jeshi lilikuwa linatumia mbinu yao waliyoizowea ya kutisha waandamanaji ila baada ya kuona wananchi hawatishiki tena ndio wakaamuwa kutumia silaha kwa watu ambao hawana silaha na ndio hicho ndio unachosifia wewe kuwa ndio uwezo wa jeshi letu kuuwa watu wasio na silaha. Ila pamoja tukio kubwa kama hilo basi tusingetegemea kuwasikia tena kuhusu hao vijana ila D9 hao hao vijana wakasababisha serikali kuahirisha sherehe za uhuru na nchi kuwa kama chini ya jeshi.
Ukweli ni kwamba wasaliti wa nchi walianza kujenga tabia ya kishetani ya kutaka kufaidika na taharuki ya kwenye mitandaoni.

Hawajali kuwa uchumi mkuu wa TZ unaporoka ilimradi wa kwao binafsi unakwenda juu, watanzania wamewashtukia washenzi hao wanaoishi Ulaya na USA wameamua kutokubaliana na hoja yao ya kusambaza chuki miongoni mwa mwetu.

Walikuja na mikwara ya maandamano yasiyo na mwisho leo watu wameamkia kazini kama kawaida, sasa hao wapuuzi wanaounga mkono wakitaka kuijua hasira ya watanzania wazalendo wajichanganye tu kuanzisha maandamano siku za kazi watajua kilichomtoa kanga manyoya.

Usidhani imewezekana kwa uwezo wa kibinadamu. Pale St Gasper Mbezi Beach tuliweka Novena ya siku tisa iliyomalizika tarehe 8, Mungu amejibu upendo wake. Hatuna utamaduni wa kuishi kwa hofu hao washenzi wanaoishi huko Marekani wameshindwa kutuambukiza roho za maasi zilizoitesa serikali ya Kenya.
 
Maajabu ya Samia hayo!

Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.

Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.

Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31 kusherehekea huo ‘ushindi’ wake.

Leo ni maadhimisho ya 64 toka Tanganyika ipate uhuru.

Ni siku kubwa.

Lakini cha ajabu tena, yeye huyo Samia [sitomuita Rais kwa sababu hakuna aliyemchagua awe rais] leo yuko mafichoni.

Hajulikani alipo. Kajificha 😀.

Sikumbuki mara ya mwisho Rais wa Tanzania kujificha siku ya uhuru.

Ama kweli huyu Samia ni mtu tofauti sana.

Hata yale maonyesho ya wale makomandoo wake, wale ambao huwa wanaruka ruka na kuigiza kupigana huku wamejipaka masizi usoni na kubeba mabegi yao ya mgongoni, leo hakuna 😀.

GenZ wa Tanzania kiboko aisee.

Yaani they are basically calling the shots.

Hey Samuya, where are you? 😂
Anaishi kama nguruwe mwitu **** bake
 
..sijawahi kumfuatilia Habil.

..lakini ukweli lazima usemwe kwamba Maza hakutakiwa kuteka, wala kuuwa, mtu yeyote.

..watu walikuwa na matumaini makubwa naye, lakini amewaangusha.
Utekaji mheshimiwa aliurithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati JPM, Alitakiwa avunje kile kitengo maalum yeye kaendelea nacho.
 
Back
Top Bottom