M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Staged big time, hauwezi kusimamisha convoy ya rais na ukabaki salama.Angalia video sio ya msiba alikuwa hai bado anapita tu njiani kwenye mishemishe zake. Baada ya ving’ora kukatiza wananchi walipoona akuwa na mpango wa kusimama wakavamia barabara kitemi gari lake binafsi ikabidi msafara wote usimame.
Halafu video imerokediwa na bystander tu aliekuwepo kwenye eneo. Unaona upendo wa wazi kutoka kwa wananchi.