Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Angalia video sio ya msiba alikuwa hai bado anapita tu njiani kwenye mishemishe zake. Baada ya ving’ora kukatiza wananchi walipoona akuwa na mpango wa kusimama wakavamia barabara kitemi gari lake binafsi ikabidi msafara wote usimame.

Halafu video imerokediwa na bystander tu aliekuwepo kwenye eneo. Unaona upendo wa wazi kutoka kwa wananchi.
Staged big time, hauwezi kusimamisha convoy ya rais na ukabaki salama.
 
hakuna majority yoyote usidanganye watu watanzania walihuzunika mno acha uongo mpaka kwa uchache wenu mlikuwa mnamuonea wivu marehemu jinsi watu walivyoshiriki kwa majonzi na kuonyesha mapenzi ya dhati
Sukuma huwa mko kwenye denial siku zote, poleni sana na endeleeni kuiabudu hiyo maiti.
 
wewe komaa na kubeba mabox huko ughaibuni houseboy/girl mkuu kumbe hata Tanzania hukuwepo na wala hujui lolote nahisi ulikuwa unaangalia page ya kigogo hujui hata nini kilikuwa kinaendelea kwenye mitaa na vitongoji nchini Tanzania

endelea kuwa fala kwenye nchi za watu mtumwa wewe 😎
Jidanganye hivyo hivyo, habari nyingi za TZ huanza kujulikana ughaibuni ndiyo mnakuja kuzipata nyinyi ni si kila aliye ughaibuni ni mbeba box(blue color jobs) lakini hata kubeba box si mbaya bora kipato kipatikane.
 
NAKUMBUKA jirani yangu anayefanya kazi Mamlaka ya Bandari Tanzania ,
aliwasha Music usiku kucha , akimtukuza Mola kwa Nyimbo za Sifa na Kuabudu na weekend iliyofuata alitoa sadaka ya shukrani ,
maana imeandikwa tupokee kila jambomkwa shukrani .
 
hayo yamepangwa mkuu. kazuie hata msafara wa DC uone kitakachokutokea
Sukuma gang ufahamu wao ni mdogo sana, vitu viko staged hiyo ni kwa ajili ya kuwadanganya mazoba(wanyonge) wasiojielewa.
Kujaribu kuusimamisha msafara wa raisi unaweza hata kupachichwa treason case, wale ngelewe wa TISS wanaokuwa kwenye msafara watakuvamia kama nyuki.
 
Nlifurahi sana ad nkagonga gari yangu kwenye mti navyosema ad sasa gar yangu nmepaki tu nyumban ni nauza km spea ni BMW X5 kwa anaeitaji spea anitafte DM gar iko Arusha

Ila nilifurahi ad sasa bado nafuraha na ninapoina watu km nyie mnamkumbuka ndo mnaniongezea furaha zaid sabu najua sio ndoto ni kwel jambazi kaondoka na hatorudi tena kunitesa
 
Hiyo maiti waliidhalilisha sana sijui kwa nini mke alikubali huo ujinga wa kutembeza maiti huku watu wanaishangaa
Ule ulikuwa ni upumbavu wa hali ya juu. Unatembeza maiti mtaani ili iweje! Nchi hii ina watu wa ajabu sana! Maumbile makubwa, akili kiduchu.
 
Wanaposimama magari yanayoongoza njia ayaendi mbali vile na msafara, ata huyo anae-record unamsikia akisema inabidi waliotangulia warudi.

Unaona pia heka heka za walinzi wake awakuwa tayari for stop over mpaka gari limezingirwa.

Video inajitosheleza yenyewe ni ghafla, but then you are entitled to your own interpretation of the incident.
Kama umechoka kuishi uraiani, kasimamishe msafara wa Rais.
 
Nlifurahi sana ad nkagonga gari yangu kwenye mti navyosema ad sasa gar yangu nmepaki tu nyumban ni nauza km spea ni BMW X5 kwa anaeitaji spea anitafte DM gar iko Arusha

Ila nilifurahi ad sasa bado nafuraha na ninapoina watu km nyie mnamkumbuka ndo mnaniongezea furaha zaid sabu najua sio ndoto ni kwel jambazi kaondoka na hatorudi tena kunitesa
Mimi hiyo siku kidogo nigonge gari pale mwenge
 
Jidanganye hivyo hivyo, habari nyingi za TZ huanza kujulikana ughaibuni ndiyo mnakuja kuzipata nyinyi ni si kila aliye ughaibuni ni mbeba box(blue color jobs) lakini hata kubeba box si mbaya bora kipato kipatikane.
huna lolote mbeba mabox wewe 🙁
 
hata wewe ni maiti mtarajiwa halafu hasara uliyonayo utafia kwenye nchi za watu shame on you.
Nchi za watu ndiyo upuuzi gani, hapo upo kijijini walipozaliwa babu zako? Dunia ni yetu na maisha ni popote.
Jibwa lile linavuna lilichopanda, limekufa baada ya kuua sana, kutesa na kudhulimu ndiyo maana linanangwa kila uchwao. Ishi vizuri na watu na utakumbukwa kwa mazuri(though some don't just give a fvck kwani kwao vyovyote watakavyokumbukwa ni sawa ila chawa wao ndiyo wanawapigania eti 'legacy', that shit sucks big time).
 
Kama umechoka kuishi uraiani, kasimamishe msafara wa Rais.
Some stupid goons believe those staged and scripted scenarios, yaani out of blue mkasimamishe msafara wa raisi? Hiyo ni kujisainia death warrant au treason case itakayokupoteza jumla.
 
Nchi za watu ndiyo upuuzi gani, hapo upo kijijini walipozaliwa babu zako? Dunia ni yetu na maisha ni popote.
Jibwa lile linavuna lilichopanda, limekufa baada ya kuua sana, kutesa na kudhulimu ndiyo maana linanangwa kila uchwao. Ishi vizuri na watu na utakumbukwa kwa mazuri(though some don't just give a fvck kwani kwao vyovyote watakavyokumbukwa ni sawa ila chawa wao ndiyo wanawapigania eti 'legacy', that shit sucks big time).
mbeba box weeeee unadhani una dhamani sawa na mimi ninaeishi kwenye nchi yangu huna lolote mkimbizi wewe huna lolote 😕 nasisitiza tena hata wewe utakufa hata kama hujawahi kua,kutesa wala kudhulumu na wabaya wako watakunanga pia Mungu ni wetu sote siku yako yaja hakikisha umejiandaa kuliko kuhukumu wenzako wakati na wewe njia ni hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom