Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mbona ata hao wazuri walio hai leo awapendwi hivyo.Hata yule mwovu anapendwa sana na watu wa aina yake au wasiomjua vyema kuwa ni mwaribifu mkuu
Magufuli aliwagusa wananchi kipekee.
Hii ni serikali nyingine na kazi ya mungu aina makosa. Sioni sababu ya kumsakama marehemu kama itaondoa ukweli.
Na hakuna ubaya watu kuzungumzia mema na mabaya ya leo ni sehemu ya kuwa kiongozi.