Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Nilikuwa na House girl msukuma aisee alilia wiki. Mi kama binadamu niliumia lakin pia nilimuombea Mungu amsamehe maovu yake. Daima kwangu alikuwa 50/50. Hakuwa mzur wala mbaya.
 
Mi nilienda kutafuta jogoo kubwa sana na pilipili mwendokasi za 8500.Nikawa naomboleza huku nakohoa huku nasindikizwa na supu yenye muwasho.
 
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?

Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Kwa majonzi mazito
Hadi nikalala kwa wenge usiku.


Mungu aendelee kumpumzisha pema.
 
Taarifa hio ndio ilikua kama umepokea "BARUA YA KUSIMAMISHWA KAZI".[emoji23][emoji23][emoji23]

Maana zile Elf 3 za bando kutoka ofisi maalum lumumba mlizokua mnapewa kila week, ili mje kuimba mapambio JF na Twitter, zilisitishwa rasmi.

Wenzako kina ISIS(Mzee Wa Walahii) ndio wakapotea mazima JF. Huyu mdudu sitokaa kumsahau maisha yangu yote, alikua anakera hakuna mfano. Ndio user aliekua anaongoza kunitukana JF haijawahi kutokea.
Labda huyo ISIS alikuwa ndo Jiwe na id Fake😉😉
 
My apology kwa wale watakaokereka lakini eneo nilipokuwepo watu walikesha wakinywa kwa masikitiko mengi
Mimi nilizipata taarifa asubuh wakat naelekea job?manake nilizima simu na kulala mapema that day,ila siku ya kuzikwa kwake sehemu niliyokuwepo mvua ilipiga hatari na tulikesha club tukilewa chakari hadi alfajiri😅
 
washkaji zangu walilewa siku tatu mfululizo, kimsingi ilikuwa shangwe kuu, hata mimi ningekuwepo ningewazidi kmmk
 
Hasira, Sikuamini kama anaweza kufa kibwege vile.Na bado siamini kama ni kifo cha asili.Bado nina hasira sana.
 
Back
Top Bottom