Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakumbuka nilikuwa ofisini usiku ule nikisaini nyaraka mbali mbali , nilistuka sana , wasaidizi wangu wanadai nilizimia kwa muda wa nusu saa
 
...huwa namcheki alivolala kwenye jeneza pale na miwani kabanwa mdomo, natafakari mengi sana. DUNIA NI YA AJABU
 
Sema uligongeana mkono na shost wako kujipongeza baada ya ile taarifa kutoka ikulu ndogo Tanga 😁😁😁
Sikuchekelea na sikusikitika nilikua kawaida kabisa....nafatilia update kwa kigogo 😃
 
Hivi viongizi wa nchi hii walitaka kuonesha nini au walikuwa wanafikiria nini kuzungusha maiti ya Jiwe kila kona ya nchi hii. Jua lake, mvua yake. Aiseee?! Mazishi ni Chato lakini maiti inapelekwa Zanzibarr. Kushoto kabisa kijiografia. Daah! Hakuna kitu ilinikera kama ile.

Badala ya kupumzisha maiti wenyewe wanalichezea😡😡😡😡. Ile ilikuwa dhambi kubwa sana kwa wahusika. Kama wanajijua wakatubu tu. It was a shame and disgrace to the late.
 
Hivi viongizi wa nchi hii walitaka kuonesha nini au walikuwa wanafikiria nini kuzungusha maiti ya Jiwe kila kona ya nchi hii. Jua lake, mvua yake. Aiseee?! Mazishi ni Chato lakini maiti inapelekwa Zanzibarr. Kushoto kabisa kijiografia. Daah! Hakuna kitu ilinikera kama ile. Badala ya kupumzisha maiti wenyewe wanalichezea😡😡😡😡.
Ile ilikuwa dhambi kubwa sana kwa wahusika. Kama wanajijua wakatubu tu. It was a shame and disgrace to the late.
"Msiba ulifatiliwa na watu bilioni 1" kuna viongozi ni waongo 😁
 
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?

Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Zile habari za kifo cha huyo nduli Magufuli nilizipokea kwa shangwe kubwa isiyo kifani!
 
Kwakweli ule msiba nililia kipindi chote kile na hata Leo nkisikiliza clips zake natokwa machozi.It was a very bad
 
Wewe ulikuwa na upendo zaidi ya mama janet aliyekuwa anatabasamu siku mwili unaagwa chato?
Swali la kipuuzi hili. Nilikuwa namkubali Kwa Sababu ya dedication na ufanyaji wake wa kazi, alikuwa Rais mwenye akili nyingi sana angalia alivyohendo korona na watu wa ovyoovyo Kama mafisadi, wanasiasa uchwara, vyeti feki Nk
 
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?

Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Hii kumbukumbu mnafanya na nani mkuu? Hata hivyo, kifo chake kilikuwa cha kawaidia. Haraka nilivyosikia amekufa nikaanza kuwakumbuka watu wengi kwa majonzi makubwa kama Lissu, Saanane, Mawazo na wengine wengi. Bila shaka huko aliko atakuwa anawaomba mmoja katika hawa wamuombe ruhusa arudi duniani aje kusema ukweli juu yao.
 
Kigogo aliandika eti maiti imezungushwa sana hadi imeanza kutoa mchuzi
Sahihi kabisa. Imagine mtu aliyekuwa anatisha na kuamrisha majeshi kufanya usafi mitaani kama ilivyotokea Mwanza na Dar baadaye maiti yake ikawa inazungushwa kimzaha mitaani just for fun. Aiseee?!😂😂😂😂. Kisa wanajua sasa hana cha kuwafanya sasa. The world is not fair kwa kweli.
 
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?

Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Nilienda bottle store fasta nikanunua chupa ya Laurent-Perrier(LP) na kusherehekea.
 
Back
Top Bottom