Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mbona ata hao wazuri walio hai leo awapendwi hivyo.Hata yule mwovu anapendwa sana na watu wa aina yake au wasiomjua vyema kuwa ni mwaribifu mkuu
hakuna majority yoyote usidanganye watu watanzania walihuzunika mno acha uongo mpaka kwa uchache wenu mlikuwa mnamuonea wivu marehemu jinsi watu walivyoshiriki kwa majonzi na kuonyesha mapenzi ya dhatiWatoto wa juzi mna tabu sana, hivi wakati wa msiba wa Mchonga ulikuwa na umri gani? Huu msiba wa Jiwe ambao majority tulishangilia huo ulikuwa msiba au ilikuwa sherehe?
wewe komaa na kubeba mabox huko ughaibuni houseboy/girl mkuu kumbe hata Tanzania hukuwepo na wala hujui lolote nahisi ulikuwa unaangalia page ya kigogo hujui hata nini kilikuwa kinaendelea kwenye mitaa na vitongoji nchini TanzaniaMaajabu hata sisi ughaibuni tulipata taarifa(zisizo rasmi) kuanzia tarehe 9 lakini ikawa ukiuliza wengine wanaingizwa mkenge na wanasiasa(akina Kassim Majaliwa) kwamba mwehu bado yuko hai na Corona anaikabili kwa ndimu, vitunguu na tangawizi [emoji38][emoji38].
Hiyo maiti waliidhalilisha sana sijui kwa nini mke alikubali huo ujinga wa kutembeza maiti huku watu wanaishangaaKigogo aliandika eti maiti imezungushwa sana hadi imeanza kutoa mchuzi
Mungu aipokee roho yake mahali pema peponi. Ndicho nachoweza kusema, kwani sisi sote ni wa Mungu na Kwake tutarudi, kila moja kwa wakati na namna yake.Wewe kama wewe acha kusemea watu wengine ambao hujui nafsi zao ispokuwa Mola wetu mlezi tu.
Acha kutukana hata kama ukitukanwawewe komaa na kubeba mabox huko ughaibuni houseboy/girl mkuu kumbe hata Tanzania hukuwepo na wala hujui lolote nahisi ulikuwa unaangalia page ya kigogo hujui hata nini kilikuwa kinaendelea kwenye mitaa na vitongoji nchini Tanzania
endelea kuwa fala kwenye nchi za watu mtumwa wewe 😎
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
hayo yamepangwa mkuu. kazuie hata msafara wa DC uone kitakachokutokea
Jamaa alikuwa anapendwa watu mpaka walikuwa wanaivamia njia kama hakuwa na mpango wa kusimama liwalo na liwe lakini asimame wamuone tu.
Raisi wa watu
Vipi maongezi ya hao wanao record na mbona awakujua kama wananchi watavamia barabara ghafla.hayo yamepangwa mkuu. kazuie hata msafara wa DC uone kitakachokutokea
yote hayo yanapangwa tu. huwezi huwezi huwezi kuzuia msafara wa raisiVipi maongezi ya hao wanao record na mbona awakujua kama wananchi watavamia barabara ghafla.
Ata mimi nilitaka kuamini sinema, ila walinzi wake pia awakuwa tayari imebidi washuke haraka kwenye magari yao kukimbilia gari lake baada ya kuona limesha zingirwa.
Jasho lilikutoka. Pole sana Ndugu Stroke. Zilikuwa ni habari za kushtusha mno.Nilikuwa nimekaa kwenye kochi sebuleni nikapokea simu ya taarifa hiyo.
Nilikaa nikitafakari kwa muda then nikakubali nikasimama nikatoka nje kwenda kupunga upepo.
Wanaposimama magari yanayoongoza njia ayaendi mbali vile na msafara, ata huyo anae-record unamsikia akisema inabidi waliotangulia warudi.yote hayo yanapangwa tu. huwezi huwezi huwezi kuzuia msafara wa raisi
M nilifurahi sana. Nilitaman afufuke alaf afe tena nifurahi kwa mara ya pili [emoji2]Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.
Ndiyo mafisadi na wanasiasa uchwara wangeona Tanzania kuwa chungu.huyo Mama alipoingia gharama za maisha zilipanda sana.mtanzania hajali Kama mbowe kafanya mikutano au la anachojali ni mahitaji yake muhimu kama vyakula NK.Chukulia mpaka lea Magufuli angekuwepo, wangekuwa wamefungwa watu wangapi?wangekuwa wameuwawa wangapi?muwe mnalifikilia na hilo,Wacha mama aiponye inchi
Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha musiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania?
Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa Watanzania kwa mara ya kwanza kumpoteza Rais Kipenzi akiwa madarakani na pengine Afrika mashariki nzima.