Ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa Mkubwa uwe nani?

Nilikuwa najiendea endea tu.Baada ya kumaliza chuo na kuanza kazi..Nimekuja kugundua nilitakiwa niwe Muhasibu na kitu nimetokea kukipendaaa mnooo.
Kuna kipindi kinaitwa Master Chef: The professional
Kuna mdada anaitwa Sofie alikuwa Lawyer kwa miaka 12
Akakinai na kurudi chuo kusomea mapishi mwaka 2019 akapata Diploma yake na kwa sasa anasema nimependa mapishi kuliko kazi ya zamani
Sasa ni Chef
 
Utakufa vibaya🤣
 
Mimi ndoto yangu ilikuwa nije kuwa mchawi mkubwa!
Bahati mbaya marehemu babu ambaye pamoja na kuwa maarufu kwa kufuga majini lakini mpaka anakufa hakunirithisha kabisa mikoba akaachiwa mtu mwingine katika ukoo then mimi nimeambulia kuwa muuza majeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…