Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Sawa mkuu😄
 
Niliwahi kufanya consultancy service sehemu. Navaa kibosi suti kali, naletwa ofisini na gari mpaka beg nabebewa na dreva.
Pale chini kulikuwa na mlinzi wa SUMA yupo vizuri. Akanipa namba bila kikwazo, nikajua hapa napiga huyu kashoboka na suti.
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata kunipa dudu washa, mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma
 
Hahaha
 
Hahaha nice guys finish last
 
Hahaha nimecheka sana
 
Mzee wa suti za kihasibu
 
Wengine tupo madhabahuni mkuu 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…