SlimFit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2016
- 2,041
- 3,119
AminaUbarikiwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaUbarikiwe sana
vizuri sanaNiliwahi mnunulia suti na pair 2 za viatu, na huwa anazipenda sana.
Mom niliwahi mnunulia dinner set kubwa 2, na wax dott 2,
Nawapenda sana wazazi wangu.
Mkuu upo Kama mm tujitahid tuish na watoto wetu kiurafiki Zaidmazungumzo yangu na dingi(tunawasiliana Mara moja kwa miez)
Mimi:hallo
Mzee:hallo
mimi;shikamoo
mzee:marahaba
Mimi:nilikuw nakujulia Hali
mzee:haya
"apo tumetumia sekunde 9"
unadhan vibe ya kumtafutia zawad itatoka wapi.ila namshukuru alinitengenezea mazingira ya kujiamini popote pale.
mungu akinijalia watoto na mke ntakayekuwa nae ntahakikisha naish nao kama washkaj mpaka watu waulize Hawa n watoto wako au wadogozako.
OVA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "hii cm siiwezi ondoka nayo" hahahObviously pesa ninazotuma siyo zawadi so hizo nazicancel.
Mwaka juzi nilimnunulia smartphone nikamtumia, nikawa nimeiset kila kitu kwamba yeye aweke line tu aweze kutumia.
Nilitumia wiki kumuelekeza jinsi ya kuweka line. Kwenda kuwaomba vijana hataki anasema watamuona hajui (mzee wangu ana ego hivi kimtindo) baada ya pale ikabidi nitoke Dar kwenda kumuelekeza jinsi ya kutuma sms.
Kisha siku naondoka akaniambia "Hii simu siiwezi, ondoka nayo"
So nimeresort kwenye pesa.
Nimefurahi kusikia we ni mwadventista msabato. BarikiwaHahhaa mwinjilisti yule ..acha kbs..na daniel na siku zetu[emoji4]
Wazazi wangu wao wenyewe wanajiweza kiuchumi, na nyumbani kuna kila kitu ambacho kinatakiwa kuwepo ktk maisha halisi ya mwanadamu.vizuri sana
Hakikisha pia wana maji na umeme nyumbani au uwakarabie Nyumba/ fanicha kama vimechoka - kwa kadri utakavyo weza
Ooooh poleeeh sanaa.Mama hayupo ametangulia kwenye makao ya milele,
Mama nilimpa zawadi nyingi ata hazihesabiki. Mzee namtumiaga ela kidogo na nakumbuka zawadi niliyompa nilimnunuliaga smartphone mwaka 2017 ameitunza mpaka leo.
Wababa sio wakatili. Ni vile wamama wengi huwa wanakwepa jukumu la kumuadhibu mtoto. Umefika hapo ulipo sababu ya ukali wa baba. Vinginevyo usingehitimu hata elimu ya msingi.Daaaaah sure ni ngumu sana .....
Anyway ..malez yanachangia coz wezee weng wanakuwa wakatili sana
Mfano mtoto akisikia sauti ya mzee ....anakimbilia kulala
Suti moja matata plus mokasini, shati na tie. Bila kusahau simu janja.Ilikuwa ukimaliza tu kula usiku Kama hajapitia kilabuni siku hiyo uatasikia " hayaa kakojoeni mkalale".............. Hili limenilemaza Hadi Leo hata nikiwa napata moja Moto moja baridi au nimetoka na washkaji kidogo Mara nyingi nikijitahidi Sana mwisho saa tatu usiku......
Ila all in all , he was right in his own perspective na kumpa zawadi ni suala la msingi... Tatizo zawadi gani maana za wamama rahisi Sana.
Niliingia Kkoo nikamnunulia simu ya Tecno yaan smartphone katumia miaka 2 siku hiyo kapita mbagala wahuni wakasepa nayo, saev nimemnunulia simu ya elfu 25 kiswaswadu, wadogo zangu namsaidia ada nadhani hii inatosha sana kwake
🙏Nimefurahi kusikia we ni mwadventista msabato. Barikiwa
Hata Mimi Mzee anataka simu mpya mda mwingine inatia hasira alimuacha Mama nikiwa na miaka 2 tuu ila baada ya miaka 4 alinichukua mpk leo nipo nae, watoto tupo 7 katika matumbo matatu ila inatia hasira kujikuta peke yako ndo unahangaika na Mzee na madogoMama angu nae kaibiwa simu wiki ilopita ni simu ya pili namnunulia
Juzi kati ananiambia mwanangu sitaki kitochi nataka kama ile ilopotea [emoji23][emoji23][emoji23](naambiwa kiupole kweli jamani) ameshazoea whatsapp na kule like id kwenye video za kuchekesha sasa anaona tabu kurudi kwa kitochi hapa nadaiwa simu tena ninunue mpyaaa
Basi huwa akipata simu mpya anafurahi balaa