Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

Ulishawahi kumpa Baba yako zawadi?

Obviously pesa ninazotuma siyo zawadi so hizo nazicancel.

Mwaka juzi nilimnunulia smartphone nikamtumia, nikawa nimeiset kila kitu kwamba yeye aweke line tu aweze kutumia.

Nilitumia wiki kumuelekeza jinsi ya kuweka line. Kwenda kuwaomba vijana hataki anasema watamuona hajui (mzee wangu ana ego hivi kimtindo) baada ya pale ikabidi nitoke Dar kwenda kumuelekeza jinsi ya kutuma sms.

Kisha siku naondoka akaniambia "Hii simu siiwezi, ondoka nayo"

So nimeresort kwenye pesa.
 
mazungumzo yangu na dingi(tunawasiliana Mara moja kwa miez)

Mimi:hallo
Mzee:hallo
mimi;shikamoo
mzee:marahaba
Mimi:nilikuw nakujulia Hali
mzee:haya

"apo tumetumia sekunde 9"
unadhan vibe ya kumtafutia zawad itatoka wapi.ila namshukuru alinitengenezea mazingira ya kujiamini popote pale.

mungu akinijalia watoto na mke ntakayekuwa nae ntahakikisha naish nao kama washkaj mpaka watu waulize Hawa n watoto wako au wadogozako.

OVA.
 
Namtumiaga ela japokuwa mama ndio nampa kils mwezi..

Mzee aliachana na mama nipo darasa la 5.. Kipind kile niliumia sana.. Na niliapa kumchukia mzee na mkewe alimuoa..

Lakn baada ya kukua na kuwa mtu mzima.. Nimeona kuna uwezekano mkubwa mama ana matatizo makubwa kuliko mshua.. Sasa nimemsamehe..

Na sasa nina mpango wa kuigawa pesa kati kwa kati.. Japokuaa mzee ana vitega uchumi
 
Niliwahi mnunulia suti na pair 2 za viatu, na huwa anazipenda sana.
Mom niliwahi mnunulia dinner set kubwa 2, na wax dott 2,
Nawapenda sana wazazi wangu.
vizuri sana
Hakikisha pia wana maji na umeme nyumbani au uwakarabie Nyumba/ fanicha kama vimechoka - kwa kadri utakavyo weza
 
mazungumzo yangu na dingi(tunawasiliana Mara moja kwa miez)

Mimi:hallo
Mzee:hallo
mimi;shikamoo
mzee:marahaba
Mimi:nilikuw nakujulia Hali
mzee:haya

"apo tumetumia sekunde 9"
unadhan vibe ya kumtafutia zawad itatoka wapi.ila namshukuru alinitengenezea mazingira ya kujiamini popote pale.

mungu akinijalia watoto na mke ntakayekuwa nae ntahakikisha naish nao kama washkaj mpaka watu waulize Hawa n watoto wako au wadogozako.

OVA.
Mkuu upo Kama mm tujitahid tuish na watoto wetu kiurafiki Zaid

Mm nampigia mzee simu anapokea sekunde 9 na anawah kukata yeye sometimes inaumiza Sana
 
Obviously pesa ninazotuma siyo zawadi so hizo nazicancel.

Mwaka juzi nilimnunulia smartphone nikamtumia, nikawa nimeiset kila kitu kwamba yeye aweke line tu aweze kutumia.

Nilitumia wiki kumuelekeza jinsi ya kuweka line. Kwenda kuwaomba vijana hataki anasema watamuona hajui (mzee wangu ana ego hivi kimtindo) baada ya pale ikabidi nitoke Dar kwenda kumuelekeza jinsi ya kutuma sms.

Kisha siku naondoka akaniambia "Hii simu siiwezi, ondoka nayo"

So nimeresort kwenye pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "hii cm siiwezi ondoka nayo" hahah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
vizuri sana
Hakikisha pia wana maji na umeme nyumbani au uwakarabie Nyumba/ fanicha kama vimechoka - kwa kadri utakavyo weza
Wazazi wangu wao wenyewe wanajiweza kiuchumi, na nyumbani kuna kila kitu ambacho kinatakiwa kuwepo ktk maisha halisi ya mwanadamu.

Ninao sisters n brothers ambao wao pia husaidia nyumbani na hata kunisadia mie, maana mie mwenyewe nawategemea wao, pesa wanazonipa za pocket money ndo nawanunulia wao zawadi.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mama hayupo ametangulia kwenye makao ya milele,
Mama nilimpa zawadi nyingi ata hazihesabiki. Mzee namtumiaga ela kidogo na nakumbuka zawadi niliyompa nilimnunuliaga smartphone mwaka 2017 ameitunza mpaka leo.
Ooooh poleeeh sanaa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Daaaaah sure ni ngumu sana .....
Anyway ..malez yanachangia coz wezee weng wanakuwa wakatili sana

Mfano mtoto akisikia sauti ya mzee ....anakimbilia kulala
Wababa sio wakatili. Ni vile wamama wengi huwa wanakwepa jukumu la kumuadhibu mtoto. Umefika hapo ulipo sababu ya ukali wa baba. Vinginevyo usingehitimu hata elimu ya msingi.
 
Ilikuwa ukimaliza tu kula usiku Kama hajapitia kilabuni siku hiyo uatasikia " hayaa kakojoeni mkalale".............. Hili limenilemaza Hadi Leo hata nikiwa napata moja Moto moja baridi au nimetoka na washkaji kidogo Mara nyingi nikijitahidi Sana mwisho saa tatu usiku......

Ila all in all , he was right in his own perspective na kumpa zawadi ni suala la msingi... Tatizo zawadi gani maana za wamama rahisi Sana.
Suti moja matata plus mokasini, shati na tie. Bila kusahau simu janja.
 
Niliingia Kkoo nikamnunulia simu ya Tecno yaan smartphone katumia miaka 2 siku hiyo kapita mbagala wahuni wakasepa nayo, saev nimemnunulia simu ya elfu 25 kiswaswadu, wadogo zangu namsaidia ada nadhani hii inatosha sana kwake
 
Mama angu nae kaibiwa simu wiki ilopita ni simu ya pili namnunulia
Juzi kati ananiambia mwanangu sitaki kitochi nataka kama ile ilopotea [emoji23][emoji23][emoji23](naambiwa kiupole kweli jamani) ameshazoea whatsapp na kule like id kwenye video za kuchekesha sasa anaona tabu kurudi kwa kitochi hapa nadaiwa simu tena ninunue mpyaaa

Basi huwa akipata simu mpya anafurahi balaa
 
Hata Mimi Mzee anataka simu mpya mda mwingine inatia hasira alimuacha Mama nikiwa na miaka 2 tuu ila baada ya miaka 4 alinichukua mpk leo nipo nae, watoto tupo 7 katika matumbo matatu ila inatia hasira kujikuta peke yako ndo unahangaika na Mzee na madogo
 
Back
Top Bottom