Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Mi hata sikujua Kama ananipenda, hlf ujue na mimi kuna mtu nampenda ila yy hanipendi. Life is not fair
 
Mi hata sikujua Kama ananipenda, hlf ujue na mimi kuna mtu nampenda ila yy hanipendi. Life is not fair
Nakusomea shitaka la pili.
Unatuhumiwa kwa jaribio la kujidhuru,kujisababishia maumivu ya roho na mateso na kujinyima raha na furaha ya akili kwa sababu za uoga na uzembe wa kutotaka kufunguka juu ya mtu huyo.
Kama ilivyonenwa hapa juzi Kati,"Raha jipe mwenyewe".

Sasa nakuamura rudisha Raha yako kwa kufanya hivi.

Mtafute fargha huyo muungwana.
Mwambie kuwa ungependa akushauri Jambo Fulani kuhusu mateso unayopitia kwa masuala ya mapenzi,mweleze Kuna mtu unapendezwa nae lkn huwezi kumwelezea.akushauri,ushauri wake ndio yatakupa dira na mwelekeo.
Akitoa ushirikishwaji mtafute. Live kwa dinner.
Akikubali wewe Ni mtu mzima utajua Cha kumalizia.
Ikumbukwe kuwa Simba Ni mkali lakini anazaa.
 
😂😂😂 Sawa ndugu hakimu
 
Hahahahahaaa. Sijui nilikuwa nawahi nini!! Ningekuwa upande ule mwingine ningekuongeza tu ukawa mke mdogo[emoji1][emoji1].

Asante kwa upendoo, you keep on being here rafiki. Kuna watu ni baraka kuinteract nao and you are one of them.
Yaani hata kuwa mke wa 3 ningekubali tu ila ndiyo hivo umejifunga mpaka kifo kije kiwatenganishe basi tena😜

It feels good to hear from you rafiki, uzidi kubarikiwa👏
 
Acha utani basi kwanini umefuta namba yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…