Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mi hata sikujua Kama ananipenda, hlf ujue na mimi kuna mtu nampenda ila yy hanipendi. Life is not fairUnatuhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa Kimapenzi.
Umemsababishia binadamu mwenzako maumivu na mateso ya roho na mwili,umemfanya aishi bila furaha na kwa unyonge kwa muda mrefu.
Adhabu.
Mrudishie furaha kwa kumuuliza anataka umfanyie Nini,akikutajia tekeleza.
Usirudie Tena kutesa binadamu wenzio.