Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Sasa yule anayekujaga kule selfika ni wewe au yupi? Na yule aliyetuma picha siku ile ni wewe?
 
Huyu ndio muhusika nina uhakika asilimia95πŸ˜‚
Huyo masta nimeanza kukutana nae last year August if am not mistaken..wakati huo yule nilikuwa nikimuelewa alikuwepo siku mobu.

Hakuna mtu hata mmoja anaeweza kubashiri aise..hakuna ..can u repeat after me please hakuna.

https://jamii.app/JFUserGuide hisia
 
Hapo umenena kuna kajamaa kanajiita infantry soldier kalikuwa kanakuja sana PM niliwahi kukastukia kuna Siku alifanya jaribio la udukuzi nilistukia kwenye email address fake nayotumia kuna notifications nikaacha amalize kazi yake
Hiyo ndiyo sababu ya Ibrahim infantry soldier kuniwinda ila nilimuwekea mtego wa kumjua na nishamjua
Duuuh patamu hapo! Ndiyo maana jamaa huwa simuelewielewi pigo zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…