Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

Mkuu hilo huwa linauma ila hapo jipige tu kiume bora uumie leo utasahau tu, kuliko kusubiri huko baadaye itakuumiza zaidi. Tunakosa wa ndoto zetu hivi hivi
 
Kiranga Scars Infropreneur min -me Mjuni Lwambo ulishawahi kumpoteza mweza kwasababu ya kutokuwa na dini?
Sijasoma mada, kumpoteza mwenza kwa maana ya yeye hakutaki au wewe ndiyo humtaki kwa sababu ya dini?

Vyovyote vile iwavyo, siyo rahisi. Labda awe mtoto wa shehe kwamba aogope kutengwa na ndugu zake.

Ukiwa na maisha mazuri na fedha za kutosha, atakubali kufuata dini yeyote utakayomuelekeza. Wanawake wanaangalia uhakika wa maisha mazuri kutoka kwa mwanaume, dini siyo sana.

Mimi haijawahi na ni vigumu kutokea kwa sababu wallet iko vizuri, na ndicho wanawake wengi wanaangalia.
 
Ta
Kuna mdada mmoja alijaribu kunivutia kule wanaosali jmosi kisa tu nilitaka oa,nikasepa!
Ukikubali kubadilishwa dini utabadilishwa mpk na kabila, utakuwa wakugeuzwa tu....
Uzinzi umejificha kwenye tamko la ndoa. Wasichana ni wahanga wakubwa kuharibiwa maisha kwa kudanganyiwa ndoa kumbe mwanaume anahitaji kutimiza tamaa zake. Kama ni mke/mume hasa, oana na wa dini yako tu.
 
😃Mkuu hayajakukuta
 

Bikra yake uliyoikuta si bado ipo?

Ama uliichukua ukijua ni wa dini yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…