the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
- Thread starter
- #21
Mkuu hilo huwa linauma ila hapo jipige tu kiume bora uumie leo utasahau tu, kuliko kusubiri huko baadaye itakuumiza zaidi. Tunakosa wa ndoto zetu hivi hiviMimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.
Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management
Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.
Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima
Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially
Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.
Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.
Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje