Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

Nilipitia hili yaani ilikua tukikwazana kidogo mi naanza kulia najua kanikwaza sababu Sina mtoto du!! Yale maisha....Asante Mungu kwa kunifuta machozi aisee.
Ndoa nyingi ambazo hazina watoto huwa hazidumu. Mungu ampe kila mwanamke uzao wa tumbo lake.
 
Samia Mungu amlinde kwa maana anagusa maisha ya watu wanyonge
Mmhh! Tembelea office za Umma ujaribu huduma zao,hapo ndiyo utajua Masikini Mama Samia ana kazi kubwa sana! Wanyonge huduma za bure lakini wanauziwa Kama kawa,na hawana pa kwenda kushitaki!!
 
Mdogo angu kula Karanga nakuja kulipa
 
CHADEMA kumpinga Samia ni kujidhalilisha tu kwa maana amefanya kazi kubwa huyu mama yetu.
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
 
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…