Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

Huwa nikiona hizi mada za kukosa watoto naumia Sana Kuna mama yangu mdogo(mke wa bamdogo) wamefunga ndoa mwaka 2006 mpaka Leo hajabahatika kua na mtoto wakati wa mwanzo wa ndoa alikua so charming na NI mrembo Sana,anakuja nyumbani kututembelea,tunaenda kwake kila mtu alikua anampenda yaani,kadri miaka ilivyokua inaenda akawa anabadilika Kuna function za familia akawa hashiriki Tena, akawa mtu wa hasira kipindi flani akajaribu kujiua bahati nzuri aliokolewa mwaka juzi mdogo wangu anayenifuata alipata mtoto nakumbuka wazo la kwanza akilini mwangu nilijiuliza sijui mamdogo alijisikaje aliposikia mwanaye amepata mtoto yeye bado maskini.
Huwa namuwazia Sana sijui kwanini.
Mungu awape kicheko wanawake wote mlioko kwenye ndoa na mnahangaika kutafuta watoto
Ana umri gan uyo mama ako mdogo?
 
Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama Qatar
 
Miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama Qatar
Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Samia
 
Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Samia
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
 
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Asante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanune
 
Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Hongera Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati
 
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
Wameshatupiga ndiyo wanampongeza Mama! Tunataka Win Win situation,ili wote tupongezane kwa pamoja,siyo wao watupongeze sisi tu,lazima tujiulize Mara mbili kwanza kwa nini wanaharaka ya kumpongeza Mama hata bado kaujenzi robo kufika!?
 
Koo si wengine hatuna busara zaidi ya hao uliowataja?! MUNGU akuongeze sifa uzidi kutuchukulia poa.
 
Koo si wengine hatuna busara zaidi ya hao uliowataja?! MUNGU akuongeze sifa uzidi kutuchukulia poa.
Hahahahaaaa, mkuu I am very sorry kwa maana ningesema niwataje woooote wenye busara humu JF, hakika mada ingekuwa ndefu mnoo
 
Back
Top Bottom