Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

You're such a gentleman, mke wa mtu siyo kabisa
 
Hahaa hivi unajua mimi mwenyewe ni mwanamke pia, ulivyo comment ni kama unahisi me mwenzio 😀 so kimasikhara hivo na out za hapa na pale mke wa mtu analiwa. Duh
Ahaha ndio ivyo wengine wakivibe inn hawasemi...na nyege mbaya sana... Ila saivi sipigi tena na nimemtandika block.. Sitaki ugomvi na watu ndugu yangu....
 
Bora nitembee na mwanafunzi sio mke wa mtu.
Hizo sio za kugusa, sijawai kutamani.
Kuna limoja toka kigoma choo chetu cha nje akitoka chooni anazama gheto kavaa kanga moko.
Hana chupi wala kingine anasema nipige kimoja chap.
Dah nikimfikiria mumewe mtu poa sana muhangaikaji hana noma na mtu.
Nikawa namtimua.
Jamaa nahisi alilogwa yule
Lile janamke lizuri kweli lina nya balaa ila ndo hivyo tena
Limekata moto.
 
Limekata moto kwa maan ya kua lilikufa?
 
Wapo marijali wengi tu... usitusemee wengine bhana. Yusufu mbona alikua rijali na alikwepa?
 
Why wanawaogopa? Unaonesha Wamakonde mlivyo hamna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…