Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Kuna binti mmoja alikuwa demu wangu. Alikuwa na haraka za kutaka nimuoe mi nikawa bize na school, nikamruhusu aolewe.

Baada ya miaka nakutana naye ameshaolewa na mtoto na wana maisha mazuri. Cha ajabu anataka nimle mzigo.

Analazimisha kweli, ananilalamikia mpaka analia. Hapo ndio naamini kwamba hawa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, Mungu atupe nguvu ya kushinda mitego yao.

Siwezi kula mke wa mtu aisee, its unfair kwa mwanaume mwenzangu hata nafsi inakataa kabisa.
You're such a gentleman, mke wa mtu siyo kabisa
 
Hahaa hivi unajua mimi mwenyewe ni mwanamke pia, ulivyo comment ni kama unahisi me mwenzio 😀 so kimasikhara hivo na out za hapa na pale mke wa mtu analiwa. Duh
Ahaha ndio ivyo wengine wakivibe inn hawasemi...na nyege mbaya sana... Ila saivi sipigi tena na nimemtandika block.. Sitaki ugomvi na watu ndugu yangu....
 
Bora nitembee na mwanafunzi sio mke wa mtu.
Hizo sio za kugusa, sijawai kutamani.
Kuna limoja toka kigoma choo chetu cha nje akitoka chooni anazama gheto kavaa kanga moko.
Hana chupi wala kingine anasema nipige kimoja chap.
Dah nikimfikiria mumewe mtu poa sana muhangaikaji hana noma na mtu.
Nikawa namtimua.
Jamaa nahisi alilogwa yule
Lile janamke lizuri kweli lina nya balaa ila ndo hivyo tena
Limekata moto.
 
Hizo sio za kugusa, sijawai kutamani.
Kuna limoja toka kigoma choo chetu cha nje akitoka chooni anazama gheto kavaa kanga moko.
Hana chupi wala kingine anasema nipige kimoja chap.
Dah nikimfikiria mumewe mtu poa sana muhangaikaji hana noma na mtu.
Nikawa namtimua.
Jamaa nahisi alilogwa yule
Lile janamke lizuri kweli lina nya balaa ila ndo hivyo tena
Limekata moto.
Limekata moto kwa maan ya kua lilikufa?
 
Wake za watu ni simple sana kula hasa hawa wenye marejesho ya Vicoba na kausha Damu...

mi kuna mmoja kaahidi kunizalia ila kasema tutunze SIRI[emoji28][emoji28][emoji28]

jamani wanawake heshimuni ndoa zenu, hakuna mwanaume rijali anaekwepa mtego wa mbususu
Wapo marijali wengi tu... usitusemee wengine bhana. Yusufu mbona alikua rijali na alikwepa?
 
Niliendelea tu mpaka msimu ulivyoisha kuna kitu kikinipa nguvu kidogo ni kwamba ile nyumba mzee sio yakwake ni ya yule mke ndio maana sikuogopa sana yule mama alikuwa ananiambia hakuna chakutufanya yule mzee,halafu pia kule umwerani wanatuogopa mno wamakonde na wiki 2 zijazo naenda tena msimu umeanza na nitafikia nyumba ile ile
Why wanawaogopa? Unaonesha Wamakonde mlivyo hamna akili
 
Back
Top Bottom