Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Watakuja kuuana hawa its just a matter of time. siku akijuwa anachapiwa ni gunia za mkaa tu.
 
Hongera
 
Bado hujasema....na utasema! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Hivi mbono humu mnakosoa sana ndoa lakini mtaani watu wengi wameoa mpaka nawaza sijui nioe tu😁
Hii speed ya ndoa mtaani inatisha kwakweli, na kuna asilimia kubwa ya watu wanaoa kwa kufata upepo ndio maana unakutana na mdada na ana pete ila vitu anafanya unabaki kusema aliyeoa hapa shughuli anayo.

Kwa kifupi kwa sasa hivi kabla ya kuingia kwenye ndoa ni kuwa na uhakika sana, unaweza kufanikiwa sana au kuharibu maisha yako yote uliyotengeneza.
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Umemaliza mkuu
 
Kwenye huu uzi naona lawama nyingi zimeenda kwa wanawake huku wanaume wengi sana wakisahau mabadiliko mengi yanayotokea kwenye ndoa wanaume pia wanachangia [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kuna kitabu ameandika jamaa mmoja anaitwa John Gray kinaitwa Men Are from Mars, Women Are from Venus
Humo ndani ameeleza mambo mengi sana kuhusu hizi jinsia mbili jinsi ya kuishi pamoja
Ni kizuri sana
Kuna mambo inabidi uyaelewe ili kuanza kuishi na mwenzio kwa maelewano
 
Expectations kill
 
Mkuu ulivutiwa na mapaja 😆😆😆😆
 
Ameandika pia kitabu kingine thing's I wish I'd known before I got Marriage, kaandika mambo mengi Sana
 
Kuna kitabu kizuri sana natamani ukisome Mkuu na wengine wakisome pia...atakayeweza kushare akiweke tafadhali

Things I wish I'd known before we get Marriage by Gary Chapman
Kinapatikana free au Cha kulipia??

I will find it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…