Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Pesa inaleta furaha kwa familia sana tu ni kama chumvi kwenye mboga
 
Na ninawivu nae shida inakuja kumuacha siwezi na nikisema namuacha sito weza vumilia nikigundua kuna mwanaume anatembea nae.
Mkuu samahani kwa nitakayoyasema hapa na siombei yakutokee lakini kama hapo ndipo huyu mwanamke kakufikisha, basi utakuja kufa mapema sana aisee. Na kitakachokuua ni presha au mshtuko wa moyo. Pole sana mkuu.

Yours is a typical case kwa nini wanaume huwa tunakufa mapema...
 
True thus kwenye uchumba watu usificha sana Tabia ili wasichunguzwe madhaifu yao
 
Dah kabisa na iko Siku hii game nitahitimisha kwa ukatili ambao Dunia itasimama.
 
That's is why i love Jf
 
Hizo ndo hasara za kuoa mke mmoja....akiumwa nawe unaumwa akiwa p nawe unakuwa p....

Ila wakiwa wawili au watatu huyu akinuna unahamia uku adi akili itamkaa sawaa.....

Dawa ya mwanamke ni mwanamke.....hisia za wanawake kama moto zinazimwa na moto
Hapo kweli sema wake wawili na uchumi huu😞😞
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…