Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Ndoa ina changamoto sana katika level ya ujana ila mkipita hapa basi ni kitongo huko uzeeni.
Kuna changamoto nyingine umri wa makamo.

Wakati wake wameshapoteza mvuto wa ujana. Wanaume wengi huanza kutoka na wanawake wenye umri mdogo utakuta anampangia hadi geto au nyumba.

Hiki ndio kipindi wanawake wengi husalitiwa sana na waume zao
 

Sasa hawa wanataka wapewe kama sheria kisa ndoa,ni kitandani mmalizane basi jamani inapendeza viutani utani yani mambo yasiwe boring[emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
 
Mada nzuri juu ya ulichoandika nimeona ulikua na Highly Expectation..Aisee try to avoid Expectation utaishi kwa amani..dont expect anything from anyoneπŸ§šβ€β™€οΈ

Seen this too many times..People come into a relationship with their idea of what they think a person should be..rather than accepting who the person is in the moment😊

They also have alot of expectations based on the person being a mind reader.. They assume their style of communication should be comprehensible based from body language and pattern in their behavior😊

And the issue is..their partner have a different way of comprehending interactionsπŸ§šβ€β™€οΈ

Personally I think people need to accept people for who they are and not assume they will changeπŸ§šβ€β™€οΈ
 
Suluhisho ni nini sasa hapo ili nipate utelezi? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ambia moyo wako kuwa chochote kinaweza kutokea kwenye ndoa yako ,hivyo utakuwa tayar kukabiliana na matatizo yote yanayoweza jitokeza tena kwa nidhamu ...naukawa mshindi mwisho wa siku . Kataa roho chafu ndugu
 
Ndoa wakati mwingine nikama ujinga upumbafu flani lakini ndiyo hivyo,lakini unavyo lalamika wewe na wanawake wapo wanao lalamika hivyo hivyo wana wanaume aina ya mkeo, ukipata mwenza ambaye sio ni majuto ndoa sio elimu wala kutokuwa na elimu, bali mtu tu, mtu anaweza kuwa na elimu kubwa lakini akili ya kawaida ni SUFURI MKUBWA mwenye macho manne, pole sana muombe sana Mungu, kuna wanaume hukata kabisa bila kumgusa mkewe mpaka kesi[emoji3][emoji3]
 
time is not yet,it's not an end until its end.

Things 'll change abruptly.
 
Ni kweli kabisa
 
Hongera mkuu, wachache Sana wenye kuenjoy ndoa zao
 
Kweli kabisa, usione watu wanakunywa Sana pombe ukadhani wanapenda muda mwingine ni kupoteza time ili warudi saa 6 usiku kwao wafikie kulala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…