Dah kabisa na iko Siku hii game nitahitimisha kwa ukatili ambao Dunia itasimama.
Duh Mungu akusaidie,furaha yako umemkabidhi mkeo na ameshajua,utateseka sana pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kabisa na iko Siku hii game nitahitimisha kwa ukatili ambao Dunia itasimama.
AsanteDuh Mungu akusaidie,furaha yako umemkabidhi mkeo na ameshajua,utateseka sana pole
Tena wewe unaonekana mchoyo sanaa😂😂😂Wape vijana solution wakinyimwa wafanyaje😀😀
Kuna changamoto nyingine umri wa makamo.Ndoa ina changamoto sana katika level ya ujana ila mkipita hapa basi ni kitongo huko uzeeni.
Wanaume wengi huwa hawafahamu kitu muhimu sana anachokikosa mwanamke ndani ya ndoa!! Na kwa kuwa hawakifahamu huwa hawawezi kuwapatia hicho kitu wanachokokosa!! Wanachokosa wanawake walioolewa ni kutongozwa na mwanamume ampendaye!! Ujue kuwa wakati ulipokuwa unamtongoza kabla ya ndoa alikuwa anafurahia sana mtongozo wako!! Je kwa sasa huwa unamtongoza? mwanamke yeyote yule anapenda sana kutongozwa!! hata kama yule anayemtongoza hampendi na hamkubali!! Ile kutongozwa tu inamhakikishia kuwa anavutia na anapendwa!! Wanaume msiache kuwa mnawatongoza wake zenu hata kama mko kwenye ndoa!! tongoza kiaina ili upate mbususu!! toa vizawadi hata kama ni vidogo vidogo ili aendelee kujisikia kuwa anakuvutia!! Kukunyima mbususu maana yake ni kwamba anataka umtongoze!! Ukihitaji huduma yake usisubiri wakati mmeenda chumbani!! anza mapema kmwonyesha dalili kuwa unamhitaji, ongea naye vizuri, mpapase papase vizuri huku ukimwambia jinsi anavyokuvutia, masaa mengi tu kabla ya wakati!! mtoe out hata mahali simple tu mkapata hata soda tu!! Ukiwa naye mwambia kumbe huwa unamiss vitu vizuri sana unapokuwa haunaye karibu!! mnaporudi nyumbani shikaneni mikono ili ajione ni malkia wako mbele ya jamii!! Ukifanya hayo halafu akakunyima mbususu njoo hapa utuambie!! Matokeo yake yatakuwa makubwa sana kuliko unavyofikiria!!
Fact ..👏👏Na ukiwafata utapotea watu wanapoelezea madhaifu ya wenzao wanasahau Yao kabisa na huenda wanafanya makosa mara nyingi
Muhimu Ishi maishayako watu hawafanani makosa hayafanani mazingira hayafanani
Suluhisho ni nini sasa hapo ili nipate utelezi? 😅😅😅Kama mwanamke hana hisia na wewe hata umvizie kwenye ovulation hatokupa kei, na huo ute unaweza kukata kwa muda, acha kabisa mwanamke akikuwekea kinyongo kwenye mapenzi ndo imetoka hiyo, yupo tayari akajikojoze kwa kidole na wewe ukiwa umelala kando yake
Mtongoze upyaSuluhisho ni nini sasa hapo ili nipate utelezi? 😅😅😅
Sawa 😊Mtongoze upya
Ndoa wakati mwingine nikama ujinga upumbafu flani lakini ndiyo hivyo,lakini unavyo lalamika wewe na wanawake wapo wanao lalamika hivyo hivyo wana wanaume aina ya mkeo, ukipata mwenza ambaye sio ni majuto ndoa sio elimu wala kutokuwa na elimu, bali mtu tu, mtu anaweza kuwa na elimu kubwa lakini akili ya kawaida ni SUFURI MKUBWA mwenye macho manne, pole sana muombe sana Mungu, kuna wanaume hukata kabisa bila kumgusa mkewe mpaka kesi[emoji3][emoji3]
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.
Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.
Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;
1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).
Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.
2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.
3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?
My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.
4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.
Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.
5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.
6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.
Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.
Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.
Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.
Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.
Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?
Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
Hii nakataa kabisa pesa sio kigezo cha Upendo katika ndoa, kuna watu wana pesa na hizo pesa hazimpi mwenza unafuu anabaki kutumia na ndugu zake tu!Hapa na pesa inachangia
time is not yet,it's not an end until its end.Nilioa kipindi ambacho kwanza sikuwaza kama nitaoa mapema kwa sababu nilikua nishapata mtoto kipindi ambacho bado nilikua najitafuta na maisha yaani katika 24+ nilikua nishapata mtoto nikasema sasa nitulie nisake maisha mipango ya kuoa nikasema mpaka ikifika 30+ huko.
Nikiwa katika 27+binti niliezaa nae akawa amekomaa nimuoe kwa sababu tulikua tunaishi pamoja,amani ndani hakuna tena ukichelewa kurudi kelele,ukiwahi kurudi kelele,ukifanya hivi ni shida na kelele mwanzo mwisho,nikiwa nawaza nimuoe au nimpige chini mzee siku hiyo akanipigia sim maongezi yetu yakawa hivi baada ya salam
Mzee:unaishi na mtoto wa watu na tayari amekuzalia mtoto vipi una mpango nae gani
Mimi:Kwa sasa sina mpango wowote tunaishi tu
Mzee:ili uwe mwanaume kamili lazima uwe na mipango na maamuzi
Mimi:sawa nimekuelewa
Mzee:najua umenielewa ila hujanielewa kama ninavyokusudia
Mimi:kwa nini
Mzee:kama bado unamuhitaji huyo mwanamke fanya mpango ndani ya mwaka huu umuoe na pia kama humuhitaji fanya linalowezekana ndani ya miezi mitatu ijayo uwe umeshaachana nae
Maongezi yangu na mzee yakaisha hivyo hapo ilikua mwezi wa nne
Basi baada ya kipindi kupita ndani ya huo mwaka nikaja kumuoa
Kiukweli baada ya kumuoa mambo mengi sana yalibadilika mpaka nasema kumbe nisingemuoa huwenda nisingepata kama yeye tena
1)kuhusu mbususu hapa nilipewa yote bila kubaniwa tofauti na kipindi kile,ilikua ukitaka mbususu unaskia nenda kwa huyo aliekutumia sms,mara mtoto bado mdogo hivyo ikawa inapelekea kua na mpango wa kando tofauti tulivyopata wa mtoto pili kila kitu kiliwezekana
2)alivyojifungua mtoto wa kwanza alikua hafui nguo zangu akidai kazi nyingi hawezi au amechoka nami nikawa najifulia zangu kwa kua kufua kwangu halijawahi kua tatizo mpaka leo ila baada ya kumuoa mambo yalibadilika hivyo vyote akawa anavifanya yeye mwenyewe hata tulipopata mtoto wa pili nikawa namuonea huruma nimtafutie msaidizi wa kazi lakini alikataa akawa anafanya mwenyewe mpaka leo na hapo sio mama wa nyumbani kama mwanzo kuna ka kabiashara nimemfungulia
Yapo mengi ambayo alikua ananikwaza ila baada ya kumuoa mengi sana alibadilika tena bila hata ya kukaa chini na kumwambia mpaka wa leo nashindwa kuelewa ulikua ni utoto au alikua anafanya kusudi basi nikikaa kijiweni au nikisoma makala mitandaoni kama hivi nikiskia mikasa ya watu wanavyoishi na wake zao au mwingine akikusimulia changamoto umsaidie mawazo ya kiushauri unashindwa hata uanzie wapi maana kwako havipo kabisa, mpaka washkaji wanahisi wewe ni msiri sana kwamba ww hukutani na changamoto ktk ndoa yako muda mwingine unatunga stori ili mradi waone wote mnapitia misala lakini kwako haipo kabisa.
Naweza sema nilitarajia kutana na zile kelele lakini mambo yamekua tofauti kabisa na ndio maana namuona wakipekee sana sijui huko mbele ya safari,miaka 10 sasa kwenye ndoa mambo bado ni mazuri
Ni kweli kabisaWatu wangekuwa real kwenye uchumba pasingekuwepo na kitu kinaitwa talaka,kwann unaficha Tabia zako uchumbani ili uingie ndoani Kama wewe ni muhuni,mlevi, mzinzi,una Tabia yeyeto ionyeshe uchumbani ili mwenzio aamue kama anaona inafaa au laaa,haya ya kuficha Tabia then kwenye ndoa ndio unayaonyesha talaka ni lazima.
Hongera mkuu, wachache Sana wenye kuenjoy ndoa zaoNilioa kipindi ambacho kwanza sikuwaza kama nitaoa mapema kwa sababu nilikua nishapata mtoto kipindi ambacho bado nilikua najitafuta na maisha yaani katika 24+ nilikua nishapata mtoto nikasema sasa nitulie nisake maisha mipango ya kuoa nikasema mpaka ikifika 30+ huko.
Nikiwa katika 27+binti niliezaa nae akawa amekomaa nimuoe kwa sababu tulikua tunaishi pamoja,amani ndani hakuna tena ukichelewa kurudi kelele,ukiwahi kurudi kelele,ukifanya hivi ni shida na kelele mwanzo mwisho,nikiwa nawaza nimuoe au nimpige chini mzee siku hiyo akanipigia sim maongezi yetu yakawa hivi baada ya salam
Mzee:unaishi na mtoto wa watu na tayari amekuzalia mtoto vipi una mpango nae gani
Mimi:Kwa sasa sina mpango wowote tunaishi tu
Mzee:ili uwe mwanaume kamili lazima uwe na mipango na maamuzi
Mimi:sawa nimekuelewa
Mzee:najua umenielewa ila hujanielewa kama ninavyokusudia
Mimi:kwa nini
Mzee:kama bado unamuhitaji huyo mwanamke fanya mpango ndani ya mwaka huu umuoe na pia kama humuhitaji fanya linalowezekana ndani ya miezi mitatu ijayo uwe umeshaachana nae
Maongezi yangu na mzee yakaisha hivyo hapo ilikua mwezi wa nne
Basi baada ya kipindi kupita ndani ya huo mwaka nikaja kumuoa
Kiukweli baada ya kumuoa mambo mengi sana yalibadilika mpaka nasema kumbe nisingemuoa huwenda nisingepata kama yeye tena
1)kuhusu mbususu hapa nilipewa yote bila kubaniwa tofauti na kipindi kile,ilikua ukitaka mbususu unaskia nenda kwa huyo aliekutumia sms,mara mtoto bado mdogo hivyo ikawa inapelekea kua na mpango wa kando tofauti tulivyopata wa mtoto pili kila kitu kiliwezekana
2)alivyojifungua mtoto wa kwanza alikua hafui nguo zangu akidai kazi nyingi hawezi au amechoka nami nikawa najifulia zangu kwa kua kufua kwangu halijawahi kua tatizo mpaka leo ila baada ya kumuoa mambo yalibadilika hivyo vyote akawa anavifanya yeye mwenyewe hata tulipopata mtoto wa pili nikawa namuonea huruma nimtafutie msaidizi wa kazi lakini alikataa akawa anafanya mwenyewe mpaka leo na hapo sio mama wa nyumbani kama mwanzo kuna ka kabiashara nimemfungulia
Yapo mengi ambayo alikua ananikwaza ila baada ya kumuoa mengi sana alibadilika tena bila hata ya kukaa chini na kumwambia mpaka wa leo nashindwa kuelewa ulikua ni utoto au alikua anafanya kusudi basi nikikaa kijiweni au nikisoma makala mitandaoni kama hivi nikiskia mikasa ya watu wanavyoishi na wake zao au mwingine akikusimulia changamoto umsaidie mawazo ya kiushauri unashindwa hata uanzie wapi maana kwako havipo kabisa, mpaka washkaji wanahisi wewe ni msiri sana kwamba ww hukutani na changamoto ktk ndoa yako muda mwingine unatunga stori ili mradi waone wote mnapitia misala lakini kwako haipo kabisa.
Naweza sema nilitarajia kutana na zile kelele lakini mambo yamekua tofauti kabisa na ndio maana namuona wakipekee sana sijui huko mbele ya safari,miaka 10 sasa kwenye ndoa mambo bado ni mazuri
😂😂😂😂Hii ni kweli kabisa ndio maana King Solomon alioa 400 akaongeza michepuko 300 hakua fala
Hao sio wana JF Mkuu. 😂😂Hivi mbono humu mnakosoa sana ndoa lakini mtaani watu wengi wameoa mpaka nawaza sijui nioe tu😁
Kweli kabisa, usione watu wanakunywa Sana pombe ukadhani wanapenda muda mwingine ni kupoteza time ili warudi saa 6 usiku kwao wafikie kulala tuBinafsi nilitegemea kwenye ndoa kuna maisha mazuri sana.Mkewangu kalikuwa kazuri kigoli mweupe.
Mapaja yake huchoki kuyatazama kweli, alinidatisha nikaamua kumuoa na kumuweka ndani na kupania kuwa ntakuwa na mtafuna kila siku.Jamani nliyo kutana nayo ni aibu hata kusema hapa jukwaani.Na huu mwaka ndo kawa moto mkali,kubwa kuliko yote hana siri juu ya Chumbani.Hajui lugha ya kuongea na wapi aongee dharau majigambo na kazi yake ndo imekuwa fimbo kabisa katika maisha yangu.
Na hapa kashatafuna miaka 10 ya kuishi nae.
Tuna Nyumba Gari na Miradi ila ndo sina raha nayo.
Yaani nikimuona na mtu basi hapo najua siri zote huyu mtu ataambiwa.
Ndoa ni UTAPELI NARUDIA TENA NDOA NI SHIDA NA ZINA PELEKEA SANA KUARIBU FUTURE YA WENGI.
Maana wanaume wanaishia kwenye ulevi.Na wanawake wanaishia kwenye Udangaji
😂😂😂😂JamaniTena wewe unaonekana mchoyo sanaa