Ulitumia mbinu gani kumfanya Mtoto wako aache kulala chumbani kwako?

Jinsia gani kwani?
Kama wa kike, wapeleke chumba kwao mbembleza hadi walale
Kama wa kiume fukuza chumbani kwako, Ata Kwa kulala usiwaonyeshe , watajua Wenyewe wakitaka walale sebuleni kwenye sofa
 
Naomba niwe nakuja kulala chumbani kwako, wakiniona tu hizi ndevu zangu , watakimbia wenyewe tu
 
Wahamishe tu weka ukauzu ukiwahurumia ety wanalia utalala nao hadi wawe wakubwa anza leo wapeleke chumba chao wakilia wambie atakae lala kesho namletea zawadi wakigoma wahadithie au wasomee hadithi watasinzia wenyewe, kama napo bado unawajua wanao tumia mbinu unazozijua lakini hakikisha kufikia jumapili wawe wamehama humo jumapili tunasubiri feedback mama wawili
 
Ila nyieeπŸ€’
 
wewe hamia kwenye cumba chao watakuffuata,wakikufuata rudi chumbani akwako hawatakufuata!!
 
Ndo mnalea mashoga na matahirah.... Ni aibu hata kuandika haya maneno....
Pole sana na tena ukome kuita kizazi changu ni mashoga na mataahira..... Hukunisaidia kuingia leba sasa hayo maneno yako yaelekeze kwenye kizazi chako na ukoo wako najua Kuna mapungufu mengi kayafanyie kazi. Nakuonya koma niseme mimi ila wanangu waheshimu sana sipendi ujinga narudia staki kuingiziwa ujinga kwenye familia yangu
 
Kama watot wanaitwa junia au precious jua una kazi maana Hawa watot Huwa hawaskii kabsaa
 
Hama ww nenda chumba kingine waachie huko/ wakikufata huko unawaacha unarudi kwa mwanzo.

Usiwaamshe wakiwa wamelala
 
Mnawadekeza sana watoto.
Ni kuwakunjia tu sura na kuwaambia ni marufuku kulala chumbani kwangu. Watoto wanaelewa.
Huyo wa miaka minne akielewa basi na mdogo wake ataelewa taratibu.
Demi naomba mtoto..
 
labda kuna kitu kinawaogopesha

filamu za kutisha labda, hadithi fulani, giza...

nakumbuka hizi zilinisumbua sana nilivyokuwa mdogo

kama kuna kitu kinawaogopesha unawafundisha kusali tu unawaambia wasiwe waoga waoga, you help them find their courage.
 

Tough love is a way kumlea mtoto! Ukikaribia kulala Nenda kulala naye huko akisinzia ondoka; akiamka usiku kaza, usikimbie kumkumbatia, Tabia ya yeye kupenda kulala kwako ulianzisha wewe na wewe unaivunja taratibu
 
Unawaharibu hao watoto. Otherwise watafutie baba awe anakusaidia. Yaani unashindwa waambia fanya ABC wakafanya? Ndo matokeo yake tunaona kizazi cha sasa hivi kimelegea legea. Sisi ukoo wetu tusingeruhusu huo upuuzi. Ni ukoo wa Simba. Uliingia leba utuzalie mchekea? No way. Mimi sitoruhusu huo ujinga na ukiendelea na huu wazimu nitakuadhibu wewe na kumwambia aliyekuzalisha achukue vitoto vinaharibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…