Ulitumia mbinu gani kumfanya Mtoto wako aache kulala chumbani kwako?

P
Pole sana sina muda wa kubishana na nimemwambia koma.
 
P

Pole sana sina muda wa kubishana na nimemwambia koma.
Unawaharibu hao watoto. Otherwise watafutie baba awe anakusaidia. Yaani unashindwa waambia fanya ABC wakafanya? Ndo matokeo yake tunaona kizazi cha sasa hivi kimelegea legea. Sisi ukoo wetu tusingeruhusu huo upuuzi. Ni ukoo wa Simba. Uliingia leba utuzalie mchekea? No way. Mimi sitoruhusu huo ujinga na ukiendelea na huu wazimu nitakuadhibu wewe na kumwambia aliyekuzalisha achukue vitoto vinaharibiwa.
 
Tafuta mapicha ya kutisha tisha bandika ukutani mafuvuπŸ’€β˜ οΈβ˜ οΈπŸ‘½majeneza, madragons.

Watapakimbia wenyewe usiku...πŸ˜†
Wazazi kama nyie ndio mnatengeneza watu ambao ni psychopathic na panya road ambao wamejazana mtaani wanasumbua watu
 
P

Pole sana sina muda wa kubishana na nimemwambia koma.
Watu hawaelewi wanapenda kuwanyanyasa watoto wakidhani ndio kuwafundisha.
Mimi shangazi yangu alikua analala na mtoto wake aliyekua anamng'ang'ania mpaka alivyoanza bweni sekondari na hakuna ushoga wala nini.
 
Miezi sita wakianza menu wanalala side bed humo humo chumbani....
Mwaka wanahamia next door, kulia mwanzoni lazima ila kulia hakujawahi ua mtoto...
Akilia wiki akiona hamna mabadiliko anachill (na nna watoto wengi kinyama)

Hao wako huyo mkubwa kunja sura ikibidi tandika viboko...
Mdogo nenda nae polepole hata ukimchapa hawezi elewa... ila akiona mkubwa kahama na yeye atafata..

Exclusive soft parenting ni scam
 
Pole. Kwanini unataka kulala peke yako?πŸ€”
 
Ngoja niwaige, nimeipenda ni nzuri sana hii.
 
Pole.
Usichulikulie serious sana comment zetu, saa nyingine tuna comment tukiwa na mood mbaya.
 
Tunawekaga shuka kutenganisha sehemu ya wazazi kunyanduana na sehemu ya watoto kulala
Inaweza kusaidia nadhani.
Ila maisha haya!
Ukisha zaa mtoto hesabu freedom yako furaha umeitoa sadaka, ni mpera mpera mpaka unairudia ardhi!

Sometime wanaokataa kuoa wana hoja ya kuungwa mkono.
 
Mnawadekeza sana watoto
Inasemekana middle class families ndΓ² zimekubuhu kwa hii tabia ya kudekeza watoto mwishowe huyo mzazi ndo atakuwa wa kwanza kupiga mayowe kuomba msaada kwa tabia mbaya za dogo anayemdekeza sasa.
 
Chumba specialy kwa mizagamuano...aloh watu mna mihela hadi mnatengeneza chumba cha kudinyana.
Kweli wacha tusake hela
 
Huwa inatumika nguvu kuwatoa, vilio ni kama kunakuwa na Msiba mpk unajisikia vibaya Mtoto anavyolia mlangoni
mimi nakuelewa, tatizo baadhi ya wachangiaji hapa wanapotosha kwa kuwa hawana watoto/hawana experience. Mzazi hawezi kulala usingizi wakati mtoto yupo mlangoni kwake analia
 
Inasemekana middle class families ndΓ² zimekubuhu kwa hii tabia ya kudekeza watoto mwishowe huyo mzazi ndo atakuwa wa kwanza kupiga mayowe kuomba msaada kwa tabia mbaya za dogo anayemdekeza sasa.
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…