Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

Nilitamani kuwa dr , mwisho wasiku nikasomea ukunga [emoji16] pcb ya kipndi hicho sio mchezo, 4 years udom,mwisho wa siku nikatemana na kazi nipo tu kitaa nina beti.
 
Rais wa JMT.
 
Mimi kusema kweli nlitaka tu kuwa dereva hasa hasa wa malori ya masafa ili nitembee niione dunia.
Nmefika class 7 nkwambia mshua mi shule staki tena nataka kuwa dereva.
Akanipeleka seminari.
Nmemaliza form 4 nkakumbushia, akaishia kunitaftia leseni na kuniambia umri wa kuendesha lori bado miaka 3 kwaio nenda advance kwanza. Nkajidanganya nkaenda. Wooi, nmemaliza nkaishia kusomea udaktari.
But one day yes, ntashika chuma yangu nianze kuitalii dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…