Usikate tamaa i hope siku moja utatupa ushuhuda wako humu jf.Daaah,,,mwaka wa nne huu tangu niweke vyeti vyangu chini ya godoro. Ndoto zangu na nilichokisomea haviendani na hata ninachokifanya sasa nacho hakijulikani yani basi tu kikubwa nahema.
[emoji23][emoji23][emoji23] pale unapofanyia panatoshaaa napajua[emoji23]Nilivokua mtoto primary hivi nilikua natamani kuwa "mwalimu" hii ni baada ya kula fimbo nyingi shule nikawa naona walimu wanafaidi kuchapa so nilikua napenda ualimu kipengele cha fimbo,
Nikawa napenda kazi ya kuuza duka ile exchange ya vitu afu unapewa hela nzuri sana[emoji3][emoji3]
Baada ya kujitambua sasa nikawa napenda kuwa Banker, namshukuru Mungu ndiyo nilichosomea ila kazi sasa ndiyo nimeswitch kidogoo,ila fresh tu[emoji47]
Nilitamani sana niwe nabeti na hakika ndio kazi yangu .
Pisha huko[emoji2763]Mbona Babu yenu najitahidi kutovunja, msije kunionea gere kule Peponi iwe kama kisa cha Tajiri na Masikini Razaro [emoji2957]
Kuwa padre
Milele aminaTumsifu Yesu Kristu baba Paroko
Mmh 🤭[emoji23][emoji23][emoji23] pale unapofanyia panatoshaaa napajua[emoji23]
Amen ila am ok na hii kazi yangu nisije nikakufuru Mungu bureeMungu akupe kazi yako!
ivi kuwa mwalimu ni ndoto?