Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

Daaah,,,mwaka wa nne huu tangu niweke vyeti vyangu chini ya godoro. Ndoto zangu na nilichokisomea haviendani na hata ninachokifanya sasa nacho hakijulikani yani basi tu kikubwa nahema.
Usikate tamaa i hope siku moja utatupa ushuhuda wako humu jf.
 
Nilivokua mtoto primary hivi nilikua natamani kuwa "mwalimu" hii ni baada ya kula fimbo nyingi shule nikawa naona walimu wanafaidi kuchapa so nilikua napenda ualimu kipengele cha fimbo,

Nikawa napenda kazi ya kuuza duka ile exchange ya vitu afu unapewa hela nzuri sana[emoji3][emoji3]

Baada ya kujitambua sasa nikawa napenda kuwa Banker, namshukuru Mungu ndiyo nilichosomea ila kazi sasa ndiyo nimeswitch kidogoo,ila fresh tu[emoji47]
[emoji23][emoji23][emoji23] pale unapofanyia panatoshaaa napajua[emoji23]
 
Nilikuwa napenda kuwa mtengenezaji mabomu ya nyukilia (nuclear bomb) haya mawazo yalianza kwenye baruti..
 
Back
Top Bottom