Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

🤣🤣🤣🤣🤣
 
C
Chai
 
Chai
 
Mkuu shusha nondo, hizi stories napenda sana
 
Ilikuwa mwaka 2001 nasoma secondary nipo chalii.Nilipata zali nililamba pesa bahati na nasibu ya Coca cola (gurudu la bahati). Kama laki nane hivi..

Basi nilivaaa kikolo Sana siku hiyo. Picha linaanza nachuku tax kutoka Coca cola mikocheni mpaka kkoo. Nazama dukani kwa muarabu nataka kutungua raba mwarabu anajifanya hasikii ananiangalia kwa kuninyali. Nilipata ghadhabu.

Nauliza raba Bei gani ananiangalia huku anasomaa gazeti. Dadeki nilichukuaa pair tano laki mbili cash..
Mwarabu hakuaamini alibaki kudadisi ile pesa ajiridhishe huenda ilikuwa bandia.. Nikaitaa tax driver abebe aweke kwenye buti.... Nikasepa..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Mi simpag mtu simu yangu yeyote yule ungenuna
 
Thread inaseme jeuri ya pesa hata kama huna. Hadithia yako. Sio unaleta kingeleza hapa, hajasema mjilete ambao hamuwezi.
Mimi natamani kuandika ila story zangu nyingi, kampani yangu yite ina story ya kujilipua hivi. Umjinimjini mwingi. Si tulia ndugu, wenzako tupo pamoja na hii thread.
 
Haaaaahaa hongera sana, hiyo ni kawaida kwa wanaume. Big up sana, ulilinda heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…