Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Kwa hiyo unataka ukienda kwa watu au hata ukiwa kwenu uamue saa 4. Unywe chai then uingie ndani kuchat, saa 7 uletewe chakula na house girl then uendelee kuchat saa 9 uende angalia marudio ya tamthilia hadi saa 2 upo kwenye TV then ule cha usiku uingie chumbani kuchati hadi saa 6 usiku.

Hivi nyie vijana mnajitambua? Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu ndio yupo kama wewe. Yeye ni kuinua miguu juu ya sofa kuchat tu. Hajui hata kufua chupi zake, eti ndio maisha yenu na hata wewe kama ni ME au KE ila tabia zenu ni zile zile.

Kizazi kibaya na cha hovyo hiki cha 1990's to 2000's. Hakuna kijuacho wala kiwazacho humu duniani zaidi ya ngono na betting. Pumbavuu
 
Hahahah pole mwaya.
 
Ila wasisemwe wenye mji tu, vipi wageni wenyewe wanao kuja hapo? Unamhudumia mtoto wa mtu siku akitoka hapo utasemwa mpaka unajiuliza hivi yale niliokuwa nafanya kumbe yote mabaya,

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Ila kuna wageni wengine vichomi eti. Uwiiii.

Yaani hata ujitahidi vipi lazima tu wakifika wanakoenda hawakosi la kusema.
 
Huo mpangilio mkuu mmh
 
Sasa kama umeenda kuishi kwa ndugu na haijulikani utaondoka lini au ni unaishi miaka 2, kwaiyo miaka yote hiyo uwe unalelewa kama mlemavu?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nipe taco uone show. 🤣 Mi nikiwa upinde jua dunia itakuwa ingine labdq
Ndio mnavyotambaga hivi mbele za watu kumbe una shanga kiunoni na mwanaume mwenzio anazichezea huku anakusanya binya makalio. Jitahidi uwe unaandika huku unakaza mwandiko na kuwa kama mwanaume iliandikwa kiwaki dogo.
 
Kwaiyo Demu ambae ni shemeji yako na Mbwa uliona bora umuogope shem ili upambane na mbwa, kumbe uliyataka mwenyewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kukaa na ndugu sitaki kabisa wala kukusikia tumekaa na ndugu toka tunazaliwa ila sahizi tunalipwa mabaya ila ndugu upande wa baba [emoji23][emoji23][emoji23] ni hatari kabisa tuombee maisha tusiwe mafiwi ,shangazi, mama wakubwa na wadogo wabaya kwa vizazi vyetu
Ndugu upande wa baba [emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji23][emoji23] kwangu msije kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…