Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Lecture fulaniโ€ฆ, wa chuo fulani kunisimamisha mbele ya darasa na kuanza kunichambaโ€ eti naringa najifanya mzuriโ€ฆ, sijui mara unalingia tako litakupeleka wapiiโ€ฆ, mara mtu mwenyewe mbaya humfikii mke wangu hata theluthi!!! โ€œ

Watu wote darasani walibaki wanashangaa kulikoni, ila sikumchukia bali nilimuombea rehema na toba kwa Mungu. Sababu sikuwahi kumkosea wala kufail somo lake. Tujifunze kusamehe na kujisamehe wenyewe pia.
 
Kabisa kipenzi
 
Mwalimu wa history form 4 na discpline master alinitamkia "wewe kamwe hauwezi kufauru" mbele ya wanafunzi wenzangu...alikuwa hajui vzr matumizi ya L na R..lkn baadae alinikuta chuo alipokuja kujiendeleza nikawa namsaidia kufanya assignments (nilikuwa miongoni mwa vijana watukutu mara nyingi alinifuma mtaani nimetoroka shule)
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nyie wenzetu mmesoma shule za wapi hizo zisizokua na walimu wenye maadili kiasi cha kutamkiwa maneno ya hovyo namna hiyo?
 
Mashavu kama baloon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ