Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

Huyo mzee ungemuacha akichane cheti kisha mziki wake unampeleka mbele ya sheria ndo atajua nini maana ya kusotea cheti🤣
Mbele ya Sheria ipi bila Hela mkuu? Mkono mtupu haulambwi. Kuna kisa kinginge nitakileta nilimuweka mtu ndani baada ya masaa nikakutana naye anadunda mbele yangu kwa dharau nikadhani alitolewa kwa dhamana laki hamna.
 
Moja ya vitu naogopa na sipendi mtu anizoee ni cheti Cha form four yaani cheti Cha form four nakihusudu Sana Bora mtu achane Cha ubatizo naweza msamehe lakini sio form four maana nimesoma shule za gharama Sana Hadi form four.
 
Moja ya vitu naogopa na sipendi mtu anizoee ni cheti Cha form four yaani cheti Cha form four nakihusudu Sana Bora mtu achane Cha ubatizo naweza msamehe lakini sio form four maana nimesoma shule za gharama Sana Hadi form four ,
Halafu kirahisi tu, mtu anakuja kusema Nye Nye Nye
 
Kuna jamaa alikuja na idea ya biashara flani hakuwa na hela. Aksniambia tuunganishe nguvu mm nikatoa kiasi na yeye akatoa kiasi. Nakumbuka nlitoa 2mln yy sijui alitoa ngapi ila aliniambia tu after 1 week angenirudishia na riba ya laki 3 katika kila 1 mil. Nikaona hii iko poa.
Nikampa hatukuandikishiana ppt.
Nakumbuka nlichomoa hela kweenye hela ya serikali nlikuwa na project binafsi ila nlipewa hela na serikali kama 4 mil hivi.
Jamaa alikuja kunipa hiyo hela baada ya mwaka mzima kupita tena bila riba for sure nataman kumtoa upepo sina jinsi tu
Du lkn ulimchana..
 
Back
Top Bottom